Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baada ya kupiga sana kelele main roads za Masaki zimewekwa lami mpya juu ya lami za zanani sasa zinapendeza na kuvutia.

Bado mitaa ya Posta lami za zamani zimechoka inabidi zirudiwe. Samora,Mkwepu,Indira Ghandi etc inabidi zipigwe msasa.
Kwanini hawakuzingatia mitaro na pedestrian walkway kwa barabara hizo, Natumia sana Kimweri Road wengeweka ingekua poa.

Alafu Mkandarasi aliyefany kaweka lami poa sana na ni wandani ila hao wakipewa nje ya mji wanalipua why?
 
Huu uwanja ulivyojengwa ni akili kubwa naona kuna sehemu ukifanya expansio inawezekana bila.kutumia akili nyingi maana unaweza expand hizo sehemu mbili zilingane na jukwaa ndefu uwanja ukawa hata 50k.


Ule wa Dodoma Vipi?
 
Kwanini hawakuzingatia mitaro na pedestrian walkway kwa barabara hizo, Natumia sana Kimweri Road wengeweka ingekua poa.

Alafu Mkandarasi aliyefany kaweka lami poa sana na ni wandani ila hao wakipewa nje ya mji wanalipua why?
Hii ilikuwa quicker solution sio complete rebuild ambayo ingechukua muda mrefu na hela nyingi.

Kimweri nayo inabidi iangaliwe from Namanga to Chole road.
 
Hapa ndio huwa nawadharau mafisadi wa Bongo. Wanakimbilia kujjnua super cars badala ya kufungua viwanda vidogo kama hivi na kuajiri waTz.
Yale mafisadi yanatakatisha pesa tu. Halafu yote yamekariri magari.

Check Lugumi, Kizigha, Abdul na lile la Zimbabwe.

Yanachojua ni MAGARI, tenda za umma na vyeo vya kisiasa.

Hayana yanachozalisha.


View: https://youtu.be/TLO0tRYWGmM?si=B1ppJ0mYEqm-2PSE
 
"Yu havu not answarad ze kweshon"
Hivyo ndivyo ungesikika ukisema 👆👆🤣🤣🤣
Unadhani kama umeathirika na lugha ya mama kisukuma then Kila mtu ako hivyo?! Yani wewe hapo you want to engage me on matters English proficiency? Maajabu haya!
 
Back
Top Bottom