Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na za town wakifanya hakika zitanoga, hizi round about zimenakishiwa sanamu zenye mandhari ya na historia ya Dar es Salaam wakire-capet na barabara zake wakaweka na street lights na hapo NHC anarepair na kupaka rangi majengo yake basi tumamaliza kazi ibaki kazi kabisa.
Na manyaya ya umeme na fibre wayafukie aisee
 
Ni bora kuliko kufumua uanze upya. Za Masaki zimependeza sana hasa baada ya kuweka lines na signs.
Hii ni cheaper na effective katika kufanya regular maintenance.

Badala ya kufumua lami yote, unakwangua tabaka la juu na kuziba nyufa, halafu unaweka lami mpya.

Hata barabara za zege, muda wake ukiisha, huwa wanakwangua kidogo na kuweka tabaka la lami, zege linabaki kama foundation.
 
singapore ya africa 😂😂😂😂

IMG_8420.jpeg
IMG_8421.jpeg
 
Back
Top Bottom