RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,419
- 135,059
Wangesema wako mbele miaka 500. Sasa hivi na 1907 gari moshi wanasema wako mbele miaka 50.Imagine Sisi ndio tungekua na garimoshi wao wana huo mchongoko?
Wangesema wako mbele miaka 500. Sasa hivi na 1907 gari moshi wanasema wako mbele miaka 50.Imagine Sisi ndio tungekua na garimoshi wao wana huo mchongoko?
Only Project in Kenya
Amahoro in disguise.Talanta will never be built 🤣🤣🤣🤣View attachment 3465618
Hasira peleka Tandale kwa mfuga mbwaAmahoro in disguise.
Our version of affordable housing.
Naona nimegusa tako! Kwetu ni Manzese kwa mfuga mbwa sio Tandale.Hasira peleka Tandale kwa mfuga mbwa
Benjamin Mkapa Stadiun Built: 2005-2007, Capacity: 62,000.
Ni Amahoro kabisaaa hiiiii, hakuna ubunifu hapa mzee, viwanja vingi vya Africa vinakaa hivi. Ndiyo mana Arusha stadium will still be the most beautiful stadium in EA.Talanta will never be built 🤣🤣🤣🤣View attachment 3465618
Tell me any resemblance between Amahoro and Talanta wewe mnyamweziNi Amahoro kabisaaa hiiiii, hakuna ubunifu hapa mzee, viwanja vingi vya Africa vinakaa hivi. Ndiyo mana Arusha stadium will still be the most beautiful stadium in EA.
I understand your pain bongolalaBenjamin Mkapa Stadiun Built: 2005-2007, Capacity: 62,000.
Kufikia hapa itawachukua 50 Years
Zote uswazi, just like many areas of that glorified fishing villageNaona nimegusa tako! Kwetu ni Manzese kwa mfuga mbwa sio Tandale.
Yes and I'm proud.Zote uswazi, just like many areas of that glorified fishing village
Sasa usichoelewa nini? Kasema hakuna ubunifu viwanja vingi vya Afrika viko hivyo. Hata Mkapa ni beseni kama Talanta au Amahoro.Tell me any resemblance between Amahoro and Talanta wewe mnyamwezi
Nipate pain hamjafikia Standard yetu tuliyoiweka 2007?I understand your pain bongolala
Usiombe.Imagine Sisi ndio tungekua na garimoshi wao wana huo mchongoko?
Kuna mkandarasi mbongo kapewa hizo tender za kuweka lami mpya juu ya lami ya zamani, jamaa anajua kazi sana.Baada ya kupiga sana kelele main roads za Masaki zimewekwa lami mpya juu ya lami za zanani sasa zinapendeza na kuvutia.
Bado mitaa ya Posta lami za zamani zimechoka inabidi zirudiwe. Samora,Mkwepu,Indira Ghandi etc inabidi zipigwe msasa.
Ni bora kuliko kufumua uanze upya. Za Masaki zimependeza sana hasa baada ya kuweka lines na signs.Kuna mkandarasi mbongo kapewa hizo tender za kuweka lami mpya juu ya lami ya zamani, jamaa anajua kazi sana.
Alipewa za Dodoma kule uzunguni asee barabara zimependeza sana.