Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Bibi Titi inaanzia mbele pale Anatouglou, sehemu ambapo Lumumba na Samora zinapoanzia
Bibi Titi inaanzia mbele pale Anatouglou, sehemu ambapo Lumumba na Samora zinapoanzia
Haha Tanzakundunians hawajui hizo airlines zinazokuja Zanzibar wanalilia Kuja Mombasa directly lakini tumewanyima vibali. We can match hizo number anytime lakini tunalinda KQDar na Zanzibar muda sio mrefu zitakuwa na miruko mara mbili ya kenya. Hapo Dodoma December inaanza. Mwanza inafuata
Nioneshe mtanzakundunian mwenye jina bakhresa ambaye sio mwarabu niondoke jf 😂😂🫴Kumbe Bakhresa ni mwarabu. 🤣🤣🤣,ni raia wa taifa gani ?
Haya toka JF we mnuka mavi 🤣🤣🤣👇🏾Nioneshe mtanzakundunian mwenye jina bakhresa ambaye sio mwarabu niondoke jf 😂😂🫴
Muonekano wa ujenzi wa uwanja mpya wa ndege, municipal ya Sumbawanga mkoani Rukwa
View attachment 3465564
View attachment 3465565
View attachment 3465566
View attachment 3465567
View attachment 3465568
Hebu kwanza nionyeshe jaluo anayeitwa Bhimji Depar Shah kabla hujaondoka JF wewe nyang'au😎Nioneshe mtanzakundunian mwenye jina bakhresa ambaye sio mwarabu niondoke jf 😂😂🫴
Ha ha ha Samora inaishia Clock tower pale Nkrumah inapoazia. Kuanzia Clock tower hadi Lumumba ni Nkurumah hio.Bibi Titi inaanzia mbele pale Anatouglou, sehemu ambapo Lumumba na Samora zinapoanzia
Asante, umenikumbusha Nkrumah st.Ha ha ha Samora inaishia Clock tower pale Nkrumah inapoazia. Kuanzia Clock tower hadi Lumumba ni Nkurumah hio.
Only Project in KenyaTalanta will never be built 🤣🤣🤣🤣View attachment 3465618
Hapa ndo Kenya itashinda Afcon yake ya kwanza.Talanta will never be built 🤣🤣🤣🤣View attachment 3465618
Kila mtu anajua 2027 kila mmoja hapo kenya atakuwa anatembea na panga kiunoni maana MUngiki itakuwa imerudi. Kikuyu watataka nchi yao irudi mikononi mwao,Hapa ndo Kenya itashinda Afcon yake ya kwanza.
Imagine Sisi ndio tungekua na garimoshi wao wana huo mchongoko?Huwa najiuliza hawa wasenge kama wangekuwa na best and quality infrastructures like these vile wangesumbua humu!!!!!!!
Naona kibakuli kinafinyangwa.Talanta will never be built 🤣🤣🤣🤣View attachment 3465618
...not forgetting "Kenya will not host CHAN, mark my words..." 🤣🤣🤣🤣Naona kibakuli kina finyangwa.