Possibly, Jangwani itakuwa kama hivi
View: https://x.com/PMEthiopia/status/1961824253726040561?t=heltoaS7qQLA0YWzrCleIw&s=19
View: https://x.com/PMEthiopia/status/1961824253726040561?t=heltoaS7qQLA0YWzrCleIw&s=19
12 lanes kama hizi Dar ziko nyingi sanaSamnujoma road View attachment 3458041
Hawa nyangau ni washamba sana huwa siwashangai vitu wanavyojinasibu navyo vyote ni pettyNyang'au akina mwathadan kweli wako nyuma ya muda ha ha ha😂
Ila visiwe karibukaribu hivyo maana hata hii TRA tower itakuwa mitaa hiyohiyo piaSafi, waongeze viberiti kama sita pale aisee.
😂😂 trump kaamua kuwakojolea kabisa
View: https://x.com/amenya_nelson/status/1854541713286541746?s=46
Hiyo stori ni FAKEPamoja kwamba kuna ukweli lakini jamaa ni mbaguzi sana ila anajificha kwenye kichaka cha MAGA
UN HABITAT iko Nairobi probably created by a Kenyan member of staff. But we all know what is the reality. you can fool some people for sometime but you cannot fool all people all the time.
Kwani sio mifugo hiyo kama punda na ngamia?Hizo ndio punda na Ngamia?
Serikali imeamua kuijenga kwa fedha za ndani kuanzia mwaka huu wataanza na berths 2 ndefu balaa pamoja na kuongeza berth 4 kwa Dar port. Sisis tunatenga na ku implement wenzetu wanatenga na kufanya politikiMuulize mbona mama nae kapiga chini?
Kampeni zikiisha nitarudi, watu wanaharibu huu uzi kwa maslahi binafsi. Kwaherini 👋
kwanini tupate taabu picha hizi hapa mbona hatuoni trucks za jirani ?Kama una ubavu leta data za TRA waliopo mipakani, nioneshe tu trucks 10 zikitoka Mombasa port to Kilimanjaro and Arusha nikuoneshe trucks 2000 from Tanzania to Kunyaland
Al shabab washabeba hilo eneo,kunyan ni weakest army ever,wangese wanachojua wao kupiga selfie tu1013 km distance ya dar kahama
Mkuu huyo mkundudweller ni kichaa,angalia tones alizopiga kwa mikoa 2 ya TZ anayodai yy inatumia msa port,hii mikoa iliyobaki inayotumia dar port itakuaje huo uwingi wake 😄Kama una ubavu leta data za TRA waliopo mipakani, nioneshe tu trucks 10 zikitoka Mombasa port to Kilimanjaro and Arusha nikuoneshe trucks 2000 from Tanzania to Kunyaland
That is precisely why we often say your arguments lack substance. The Four Seasons is an international hotel owned by Bill Gates and certain Saudi investors, meaning that most of its revenue ultimately flows abroad. By contrast, the Serengeti park entry fee—revenue that goes directly to the Tanzanian government—is $83, whereas in the Maasai Mara it is $200. So, who is truly engaging in “cheap tourism”?Tanzania ina model tofauti na Wakundustan.
Tanzania inafanya Low Density, High Quality, High priced Tourist products. Angalia tu bei za one night Four seasons serengeti au Manta resort achilia mbali Thanda island.
Linganisha na Kundustan ( Mass Tourism) ambapo mpaka backpacker ( mtalii mwenye kitanda na tent yake analipa tu 10 Usd) ukute hata misosi kabeka yake. Atashindana wapi na High Quality High priced tourist products za Tanzania, Thanda Island room ni US$33,300 per night, na lazima uwe na minimum 5 nights ndio uweke pulizo zako pale 😂😂😂😂
Vivyo hivyo kwenye mambo mengine hawajui kwa kuwa wamechimbia vichwa chini na wanapenda sifa.
Mtanzania soon tena wa Mbagala atakua anatembelea bus lenye AC na Free Wi-fi while Tajiri yupo kundustan anasambaza tu kunguni. Yaani kunguni wa nyumbani anapelekwa Kwenye lorry linalolzimishwa liwe bus na kunguni wa Kwenye lorry anarudishwa nyumbani yaani ni mixed kunguni breed zinabadilisha tu mazIngira. Kuna kunguni anaweza kugundua karudi getho flani mara kadhaa😂😂😂😂😂😂😂
You do not have sufficient data to support this claim. In fact, all major airports in the world—including your JNIA—handle connecting flights. For perspective, the highest number of connecting passengers JKIA has ever processed was 1.25 million in 2017. That same year, JKIA recorded a total of 7.08 million passengers, leaving 5.83 million non-connecting passengers—still far above JNIA’s total of 1.2 million. And that’s before even deducting connecting traffic. Spare us the excuses; they are nothing more than comic relief.Na Bado ni connecting airport. Kenya airways inalazimisha kutua hapo ili watu wapande ndege nyingine.
Same as Ethiopia's Bole
Airport za Tanzania ni za watu wanaokuja Tanzania sio kuconnect. Flights.
Kuna something kuhusu tourists arrivals. Kenya have to provide real data