Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

According to keNHA km of roads in kunyarenda are 161k, only 11.5% are paved, the rest ni vumbi. Kuna huyu choko NairobiWalker anaulizia kama eti zipo 50km of unpaved roads in knya. 🤣🤣🤣🤣,. Huyu ni mpumbavu msitilie maanani, yey na Tiwa gas ni shangazi kwa mjomba hawachkani.
 
View attachment 3461119
Hii Barabara 90% ni dirty roads

But wew wasema no even 50km of dirty roads

Watch this video na sijui kwa nini unapenda uongo sana, what do you benefit?
Huku ni kusini mwa Kenya pia

View: https://youtu.be/a3PwlLS0q1Q?si=sMCVTIxRSKhDR_O8

Sasa nimedanganya nini hapo?
Sasa Modogashe imekuwa Mandera? 🤣 🤣 🤣
Mimi na wewe nani anapenda uongo? Ni mara ngapi nimekuvua humu ukatoroka mjadala? Umesema Modogashe, alafu unaleta Mandera. Huo sio uongo? Anyway, the road is under construction and you know it.
The problem with you is, you're too emotional on your responses to issues.
 
Huyo ni mpumbavu, sio muongo tu bali ni mpumbavu. Mkubwa mpumbavu. 🤣🤣🤣 mjionee wenyewe. 93% of all roads in kenya ni barabara za vumbi, halafu yeye anaulizia kama kuna hata 50km ya barabara ya tope kenya. 🤣🤣🤣🤣
Btw barabara wanayo ongelea ni barabara ya shortcut kwenda hizo sehemu, hiyo mikoa imeungwa na barabara za lami.
 
Chama ya mafala ya zamani.
Old school.
Yaani these young tanzanians 35 and below hawawezi tengeneza chama yao!!!
Bado wanabebwa na green army
Aibu and poverty kabisa.
Peleka uzuzu kunyarnda, Tz is a socialist country, ww umbwa unajua nini kuhusu vyama vingi.? 🤣🤣🤣
 
View attachment 3461119
Hii Barabara 90% ni dirty roads

But wew wasema no even 50km of dirty roads

Watch this video na sijui kwa nini unapenda uongo sana, what do you benefit?
Huku ni kusini mwa Kenya pia

View: https://youtu.be/a3PwlLS0q1Q?si=sMCVTIxRSKhDR_O8

Isiolo - Mandera over 700km
Isiolo -Garissa - Lamu over 500km
Zote zinajengwa concurrently, si hua munasema Kenya hakuna projects. 🤣🤣🤣 Ebu tuonyeshe ni wapi bongoslum munajenga highway ya 1200km ju tayari tumeona muna highway ya 500km ya vumbi. 🤣🤣🤣


View: https://x.com/FCDCKenya/status/1960919277847896377?t=EdKjgJBriePY5pg79gnFNg&s=19


View: https://x.com/lapsset/status/1950530637401645403?t=fMl1oASLOI89EwXn1_WYCg&s=19
 

aise very interesting jamaa wako very serious na nchi yao sio sisi tunasumbuana na kina abduli na sijui mtoto wa kizinga kumiliki magari ya kifakhari bila hata kueleweka pesa wamepataje in just 3 yrs 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

note: moja kati ya gari hzo ni bugatti chiron thamani yake ni 20b tsh achilia mbali over 20 expensive cars sijui RR, G wagons, lamboghini etc

haya akili kichwani kwetu sasa tuendelee kuhangaika na mchawi wetu alieturoga
 
Back
Top Bottom