NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,008
- 19,179
Hiyo ni quarry ama barabara? 🤣 🤣 🤣Sisi hatutumii probox. 🤣 🤣 🤣 Wanafiki wakubwa.
![]()
Hiyo ni quarry ama barabara? 🤣 🤣 🤣Sisi hatutumii probox. 🤣 🤣 🤣 Wanafiki wakubwa.
![]()
Kama sii under construction utaambiwa ni 2000km from Dar. 🤣 🤣Barabara zenu zote hua under construction. 🤣 🤣
![]()
nairobae hata kama sijamaliza kupost ashaasema. 🤣 🤣 🤣Haha that is kibondo almost 1400 from dar na hapo wanajenga stendi mpya , sasa imagine nyinyi tu hapo mandera mmeshindwa hata kupalinda
Hivi Kenya kuna barabara main road unaweza enda 50KM kama hujakanyaga lami? Nielimisheni Wakenya wenzangu.🤣 🤣
Clean and order.Lamu Port is above your pay grade Mr. Chimpanzee.
View attachment 3458589View attachment 3458590View attachment 3458591
Hilo nalijua ila si baada ya uwekezaji kufeli?Serikali imeamua kuijenga kwa fedha za ndani kuanzia mwaka huu wataanza na berths 2 ndefu balaa pamoja na kuongeza berth 4 kwa Dar port. Sisis tunatenga na ku implement wenzetu wanatenga na kufanya politiki
Isiolo to modogashe wajir hadi huko Mandela ni 700+km of dirt roadsHivi Kenya kuna barabara main road unaweza enda 50KM kama hujakanyaga lami? Nielimisheni Wakenya wenzangu.🤣 🤣
Ulisema punda na Ngamia. I dare you again to show us the picture of Punda in Nairobi CBD.Kwani sio mifugo hiyo kama punda na ngamia?
So when they say Kenya has more slums then they are good but when they say about Tanzania they automatically become bad people?UN HABITAT iko Nairobi probably created by a Kenyan member of staff. But we all know what is the reality. you can fool some people for sometime but you cannot fool all people all the time.
Ebu tuonyeshe video.Isiolo to modogashe wajir hadi huko Mandela ni 700+km of dirt roads
Tembelea kitui huko..
Kazi kuchonga midomo tu
How does this concern me?
Isiolo to Modogashe is not 700km, it's about 200km. It wasn't an existing main road but a vichorochoro road that was upgraded to a class B road and the government started constructing it immediately.Isiolo to modogashe wajir hadi huko Mandela ni 700+km of dirt roads
Tembelea kitui huko..
Kazi kuchonga midomo tu
mohammedhersi.com
Yani ni sawa na Nairobi to Mombasa 😂😂😂Hivi Kenya kuna barabara main road unaweza enda 50KM kama hujakanyaga lami? Nielimisheni Wakenya wenzangu.🤣 🤣
Isiolo to Modogashe is not 700km, it's about 200km. It wasn't an existing main road but a vichorochoro road that was upgraded to a class B road and the government started constructing it immediately.
All main roads in Kitui are tarmacked. This is Kitui Kibwezi road
View: https://www.youtube.com/watch?v=yH8bKbP-Gjc
View attachment 3461119
Hii Barabara 90% ni dirty roads
But wew wasema no even 50km of dirty roads
Watch this video na sijui kwa nini unapenda uongo sana, what do you benefit?
Huku ni kusini mwa Kenya pia
View: https://youtu.be/a3PwlLS0q1Q?si=sMCVTIxRSKhDR_O8
What is so special here?Sasa boxes ndio Kitu unaturingia? Where did you export those ones to through Mwanza Port?
Show us something like this. By the way these were being exported to Tanzania.
View attachment 3458398
Ukiwai sikia bla bla km from Dar, wewe jua hapo umewapiga nyundo vile inafaa. 🤣 🤣 🤣nairobae hata kama sijamaliza kupost ashaasema. 🤣 🤣 🤣