Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,991
Nyau lini mlikua na roho nzuri,ukabila hivi mliachaga?Wakenya hawana roho mbaya kama zenu..
Nyau lini mlikua na roho nzuri,ukabila hivi mliachaga?Wakenya hawana roho mbaya kama zenu..
Siku iliyozinduliwa route ya dar moro the same day ndio kunyan walianza kuandamana ile ruto must goNa bado haijakamilika kufika Kanda ya ziwa na nchi jirani. 😂😂😂
Mahindi na maharage 😁😁Waulize hapo kwenye port wanapitisha nini?
80 percent ya Mombasa total cargo is destined within Kenya 18 percent in transit to UgandaHow will the port volume make sense to a Primary School dropout like you? Huna akili ya kuelewa mambo ya maritime trade.
Wanasemaga hakuna Mkundustan anakuja kusoma Tanzania
View: https://x.com/EdwinNgany/status/1961000747446788147?t=JI9aKlcw70-nyiuOJYGH3A&s=19
Huyo Amanda ni nani kwn?Wajaribu waone.
Amealikwa na CAF na analipwa na CAF, fujo yoyote watakayo mfanyia uwanjani watakutana na rungu la CAF. 😂😂😂
Hii ni Bedford kama sikosei, lorry za Waingereza waliacha kuzitengeneza 1986, sikutegemea kuziona barabarani.NDINDA gari ya taka hio alaf imagine inaingia mjini mbele ya macho ya afisa usalama wote😂😂😂😂😂😂
View attachment 3456155
Nafasi inatosha, ni maamuzi tuu, wanaweza hata kujenga barabara za lane mbili kwenda zikiwa juu na mbili kurudi, zikiwa chiniBahati mbaya Kamata hakuna nafasi ya kuweka flyover. Kuna flyover pale Veta na mbele ya kamata kuna elevated railway huwezi kujenga flyover hapo
Umeme wa Kenya kwa zaidi ya Asilimia 30 unazalishwa kwa mafuta mazito ya majenereta, counties zao zote za northern hawana national grid ni mwendo wa majenereta tu, hivyo inafanya waagize mafuta mengi zaidi ya majenereta ila wasivyo na akili wanafikiri kisa mzigo ni mkubwa Mombasa inamake sense economically kitu ambacho sio kweli, Tanzania sisi umeme wa majenereta tulishaachana naoWaulize hapo kwenye port wanapitisha nini?
Mkuu unapajua Kamata? Kamata ipo katikati ya veta flyover na sgr viaduct. Kile ki stretch hakizidi 300m utajemgaje flyover hapo? Msisahau kabla ya ujenzi walifikiria yote hayo.Nafasi inatosha, ni maamuzi tuu, wanaweza hata kujenga barabara za lane mbili kwenda zikiwa juu na mbili kurudi, zikiwa chini
Out of the total 40M tonnes passing through Mombasa Port, 8M tonnes are going to Uganda. Now according to your filthy calculations ebu tuambie that's how how many percentage?80 percent ya Mombasa total cargo is destined within Kenya 18 percent in transit to Uganda
Wanasemaga hakuna Mkundustan anakuja kusoma Tanzania
View: https://x.com/EdwinNgany/status/1961000747446788147?t=JI9aKlcw70-nyiuOJYGH3A&s=19
ktn ina report kuhsu manunuzi ya jezi za yanga 😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View: https://youtu.be/8sQB0UurSgo?si=VV08mlP8x2mshCCB
wana midomo mirefu kama pua za bedford😂Uchafu 100% wanaongoza na Midomo mirefu.
unitag ukipata tanzania 😂😂😂😂Kwani hujui 70% of Tanzanians live in slums compared to 40% of Kenyans?
For poverty Tanzania is the most poor country in East Africa.