Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
1000081596.jpg
 
Naona BRT 3 wanafanya finishing sasa.
1. Sehemu zenye pedestrian crossing kuna alama za blind people
2. Sidewalks ni pana barabara zote inapopita, naona wanamalizia pia Buguruni
3. Sehemu baadhi wamepanda miti ya Palms na kwenye kila BRT Station
4. Maeneo yenye Terminals wamepanda Bustan kabisa. Mfano Airport, Gomz, mnazi mmoja nk
5. BRT Station ni glassy kwa sehemu kubwa, na mbele sína tiles za kipekee.
6. Barabara hii inaonekana itakuwa na services lanes sehemu nyingi, naona wanajenga maeneo ya Banda ka ngozi, vingunguti, jeti na Airport. Kwa hiyo ukihesabu lanes zote ni 6 mpaka 10 maeneo mengi.
7. Inaonekana wataweka traffic lights vingunguti,majumba sita na sehemu zote Kwenye makutano. Hii itaondoa foleni zilizobaki


Ishauri.
1. Wapande miti ya Palms na Bustan sehemu inayounganisha barabara kuu na services lanes. Wanaofagiaga barabara waogezewe mishahara wamantain hizo Bustan
2. Sehemu zenye parkng za Maroli zitolewe along Nyerere road. Maroli ndo wanaleta foleni na ndiyo yatakayoharibu barabara hii. Maroli yapo pale mbele ya Tazara, maeneo ya vingunguti nk na hadi sasa ndo sehemu zimebaki na foleni hasa jioni.
3. Waweke electronic ads kwenye BRT Stations, wawape makampuni ya Simu yatangaze biashara zao in return of Free WiFi kwa wananchi.
4. Hope BRT bus zitangia ndani ya Airport karibu na Terminal 3, maana kuna eneo limetengwa kabisa la mabasi.
5. Hii route itahusisha international arrivals, hivyo Mwendokasi kuwepo option ya kulipa kwa VISA card, kuondoa usumbufu kwa watalii, na Wageni wapya Tanzania.
6. Wajitahidi sana kutafuta Operator Mapema isije ikabaki miaka miwili bila mabus kama mbagala
7. Kama wana mpango wa flyover, kamata, aisee wafanye haraka sana
Lakin ngoja tuone, labda BRT 2 na BRT 3 zikianza landa pale foleni itaisha kama magomeni kusivyo na foleni kabisa siku hiz


View attachment 3456074View attachment 3456075
Imagine Kunya walisema eti tuliwaiga BRT naishiwa nguvu. 😂
 
Ingekuwa majirani hatungepumua.🤣


View: https://vm.tiktok.com/ZMA2pQTUx/

World championships ongoing in Thailand. That was a great match for Kenya against the 3rd ranked team in the world ( Poland). Kenya is truly a sporting nation. Hata Football we are coming back . If it wasn’t the referee goal robbery against Madagascar, We would be playing in the Finals .
 
Hatupimi maendeleo yetu kwa urefu wa magorofa!! Keep that in mind when come here with magorofa talk!!
Vile mlikuwa na skyscraper boom si mlikuwa mnapinga development kwa magorofa? How come when there's nothing coming up then mmechange gear?
 
ahead of what? mayb slums and poverty bila kusahau hunger 😂😂😂😂😂 hvo ndio vitu mumetushinda
Kwani hujui 70% of Tanzanians live in slums compared to 40% of Kenyans?



For poverty Tanzania is the most poor country in East Africa.
 
Back
Top Bottom