Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kamata panahitaji flyover, magomeni, kinondoni morocco, mwenge, kigogo, buguruni sheli, hata pale ilala boma sema wamerudia makosa yale yale ya kila siku

dar es salaam inahitaji flyover takriban 10 za kuanzia ili angalau kufuta foleni kwa asilimia fulani
Bahati mbaya Kamata hakuna nafasi ya kuweka flyover. Kuna flyover pale Veta na mbele ya kamata kuna elevated railway huwezi kujenga flyover hapo
 

Huyo jamaa kafanya nimecheka😅😅

Screenshot_20250828_140900_X.jpg
 
@ichoboy01 yupo Nairobi now and we all see what’s happening.
Who told you ichoboy01 is in Nairobi? The guy is just hiding somewhere in Dar is slum searching for pictures from Twitter. Every picture huyo mkimbizi amepost hapa I can show you the tweet penye ameitoa. Nyinyi hamnanga originality.

Now back to Opanga Vs Nairobi neighbourhoods. To be sincere I can only compare Opanga Vs Roysambu, hiyo ndio Level yake.
 
Unajenga kuelekea Kurasini
Maybe. Lakini busy road hapo ni Nyerere. Ina maana still itabaki chini na magari yatasubiriana njia nne Tena. Utaondoa foleni ya kutoka Kariakoo kuelekea Kurasini ya airport/city centre bado shida iko pale pale. Na usisahau viaduct inapita over Msimbazi road pia hio flyover itaanzia wapi na itabidi ipite juu ya viaduct. I don't know.
 
Kimara-Kibaha highway is 10 times better than that ushuzis you call it highway, mind you, hakuna kitu kipo kenya kikakosa kuwepo Tanzania ila kuna vingi vipo Tz huwezi kupata East, west, Central and some parts of North and Southern Africa.

Hii hapa ni Kimara-Kibaha highway, the best highway in EA, na kwa taarifa yako ujenzi unaendelea, na after completion itaitwa Ubungo-Chalinze highway more than 100km (more than twice your thika jua kali highway)
View attachment 3455751View attachment 3455752View attachment 3455753View attachment 3455754View attachment 3455755
Hii barabara hata haiwezifikia Ngong' Road, sijui unapata ujeuri wapi WA kuilinganisha na Thika Road?
 
Back
Top Bottom