NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,632
Sio Miaka Saba Kaka hesabu vizuri😂, Hii Picha nilipiga November 3 siku ya Alhamisi Mwaka 2016 nikiwa MNF ikiwa inajengwa.Hii picha inawauma sana wakenya. Leo miaka zaidi ya 7 tangu ipigwe lakini iliacha kovu lililozaa donda ndugu kwa wakenya.
View attachment 3457197