Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanasema watz hawana purchasing power ya kulipa 50ksh kuingia uwanjani.

But see mashabiki wa Yanga wanagombania kwa foleni kununua jezi zao na ni 2700ksh na zinakaribia kuisha

2700ksh ni Kodi ya mtu kabisa Eastlands Nairobi
 
1756201528745.png

1756201574309.png

1756201681528.png
 
Attachments

  • 1756201741091.png
    1756201741091.png
    1.4 MB · Views: 22
Sasa ju Dar hakuna street benches, uliona upeleke ushamba wako ng'ambo. Wewe wakukanyaga public bench na viatu vyako vichafu, wewe ndio mchafu mkubwa.
Ngoja Nipige picha street benches za Baadhi ya mitaa hapa.

Nenda pale Ohio street, na karibu na bibi titi road, nenda pale agha khan walk, nenda posta ya zamani.
This Sunday nitapiga picha
 
Ngoja Nipige picha street benches za Baadhi ya mitaa hapa.

Nenda pale Ohio street, na karibu na bibi titi road, nenda pale agha khan walk, nenda posta ya zamani.
This Sunday nitapiga picha
Hizo ni street bench unatafuta hivyo. 🤣🤣🤣 Waaaaa.
 
Back
Top Bottom