Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngoja Nipige picha street benches za Baadhi ya mitaa hapa.

Nenda pale Ohio street, na karibu na bibi titi road, nenda pale agha khan walk, nenda posta ya zamani.
This Sunday nitapiga picha
Unajipa shughuli yote hiyo ili kumprove punguani 😃,utajisumbua tu coz hata ukimletea evidence hapa atabisha tu kinamna nyingine,hao nyau wameamua kuidiss TZ kivyovyote vile
 
Mliwakaribisha wenyew. Sasa wataanza kuwaharibia jina, kuwadharau na kuwatukania dada zenu. Mmekubali wake kuchezea dada zenu. Haya ndo matokeo

Kenya si mnaifanya choo. Sasa mtatuambia baada ya miaka Fulani. Na mtarespect Tanzania na maamuzi yake kuhusu black Americans. Tanzania inataka Americans wanakuja kuadd value Tanzania kwa kuongeza ajira, skills na viwanda sio Malaya wanaokuja kulala na Wanawake na kujisifia mitandaoni.

Ona huyu Jamaa anayowaponda na kuwadharau.
Tanzania ingeona hii, angetafutwa.
I respect Tanzania, pamoja na kuwa na weak government but still Kuna heshima ipo.


View: https://www.youtube.com/live/2FC6VREDjFA?si=EabX8OuVOZAz8k2w

Facts Kenyans are not attractive ila ukweli ni kwamba these fuckin' Black Americans ni losers na hii kusafiri kusaka kontents ndio kitu pekee inaweza wapa relevance.

Jamaa hana point yeyote ya msingi anaongea zaidi ya ujinga, haongelei siasa, serikali, ulinzi, utali, uchumi yeye ni: chicks, bit*hes.
Jamaa ni shuleless!
I stand with Kenyans in these trying times.

Hii ni moja ya kenge ya kimarekani aliongea mashidu X.


View: https://x.com/KipepeComrade/status/1959721589836288267
 
Tunaendelea kusonga mbele, wao hawaamini

1756218105620.png
 

UNION MEAT GROUP - Tanzania​

Ni Mradi wa ufugaji wa mifugo usindikaji wa kisasa na usambazaji wa nyama za mbuzi, kondoo na Ng’ombe kilichopo Chalinze mkoani Pwani. Kiwanda hiki kilianza uzalishaji mwaka 2024 mara baada ya usajili kutoka TIC.

1756218756453.png


1756218797958.png


1756218864388.png
 
Haina shida, ila huko mbeleni lazima watengeneze vimchepuko, kuunganisha Salender, Jangwani, Morocco rd na ilala
Jangwani area ilikuwa moja ya perfect area ya kupunguza foleni Dar es Salaam.

Interchange moja ingeondoa foleni Fire, Magomeni, ilala, salendar, kariakoo na Karume
Basi tu hatuna mtu mwenye maamuzi magumu

Kitu kama hiki kingewezakana vzr tu jangwani.
Na nguzo ni kuzirefusha tu kama walivyofanya Magufuli au wami
images (8).jpeg
 
Back
Top Bottom