Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

UNION MEAT GROUP - Tanzania​

Ni Mradi wa ufugaji wa mifugo usindikaji wa kisasa na usambazaji wa nyama za mbuzi, kondoo na Ng’ombe kilichopo Chalinze mkoani Pwani. Kiwanda hiki kilianza uzalishaji mwaka 2024 mara baada ya usajili kutoka TIC.

1756218756453.png

1756218797958.png

1756218864388.png
 
Haina shida, ila huko mbeleni lazima watengeneze vimchepuko, kuunganisha Salender, Jangwani, Morocco rd na ilala
Jangwani area ilikuwa moja ya perfect area ya kupunguza foleni Dar es Salaam.

Interchange moja ingeondoa foleni Fire, Magomeni, ilala, salendar, kariakoo na Karume
Basi tu hatuna mtu mwenye maamuzi magumu

Kitu kama hiki kingewezakana vzr tu jangwani.
Na nguzo ni kuzirefusha tu kama walivyofanya Magufuli au wami
images (8).jpeg
 
Water tanks ikulu? Unajiita tajiri and for your info upuuzi wote naoona sijaona government ikihusika even plate number ni binafsi.

Nyie sasa Government tajiri everywhere na ndio iko hivyo.

Vipi we masikini wa flying toilet je?

Kama kawaida mnakuanga the biggest hypocrites na mnapewa msaada hadi ya mipira na text books. 🤣 🤣 🤣

China donates sports equipment to Tanzania to motivate young talents-Xinhua

Tanzania lauds China for donating textbooks to students-Xinhua

TANZANIA-MWANZA-CHINA-BRI PROJECT | Imagelinkglobal ILG: Product:  ILEA001719845|Photos & Images & Videos|KYODO NEWS IMAGES INC
 
Jangwani area ilikuwa moja ya perfect area ya kupunguza foleni Dar es Salaam.

Interchange moja ingeondoa foleni Fire, Magomeni, ilala, salendar, kariakoo na Karume
Basi tu hatuna mtu mwenye maamuzi magumu

Kitu kama hiki kingewezakana vzr tu jangwani.
Na nguzo ni kuzirefusha tu kama walivyofanya Magufuli au wami
View attachment 3454004
Shida kubwa ya kwanza ya jangwani mi mafuriko
 
Back
Top Bottom