Blueband, Colgate, OMO ni brands za Unilever ambayo ni kampuni ya Wazungu with HQ in Kenya, kwa EAWale Blueband watakufa kibudu siku si nyingi tukiendelea hivi😎
Kwasasa DOFFI inawapeleka PUTA OMO huko Kenya
Blueband, Colgate, OMO ni brands za Unilever ambayo ni kampuni ya Wazungu with HQ in Kenya, kwa EAWale Blueband watakufa kibudu siku si nyingi tukiendelea hivi😎
Omo is almost died.. imebaki kwenye shelves kadhaa tu za supermarkets, wanafanya activation karibu kila mwezi to push it. 😂Blueband, Colgate, OMO ni brands za Unilever ambayo ni kampuni ya Wazungu with HQ in Kenya, kwa EA
Kwasasa DOFFI inawapeleka PUTA OMO huko Kenya
Colgate market share yake hapa Tanzania imeshuka mno kwa sasa zaidi ya 80% ya watanzania wanatumia whitedent product of Tanzania by ChemiCotext iliyopo Afrikana Mbezi BeachBlueband, Colgate, OMO ni brands za Unilever ambayo ni kampuni ya Wazungu with HQ in Kenya, kwa EA
Kwasasa DOFFI inawapeleka PUTA OMO huko Kenya
Bado wako na ndoto za past glory. Waje TZ, tuwape eneo wafungue Kiwanda wazalishe kwa gharama ndogo, wawe competitive sokoni.Omo is almost died.. imebaki kwenye shelves kadhaa tu za supermarkets, wanafanya activation karibu kila mwezi to push it. 😂
Kisumu international airport constructing its control tower!
View: https://youtu.be/D-qaykbjWxA?si=uvYFR1I7oWFghuLY
MY TAKE
Unfortunately it has always international facility without control tower as I have always attested!
World order economy tunaishusha kwa kasi ya ajabu. 🤣🤣🤣🤣
Kuna siku jamaa flani alisema hapa si Mombasa 😂😂😂Alisikika mnyamwezi akisema View attachment 3453050View attachment 3453053
Anakwambia wow! wow! This Kisumu floating beach apartments will be next level 🤩🤩As of now, no city in kunya renda kando Ya Nairobi inaweza shindana na Dom likija suala la high rise buildings. We are not talking of Affordable housing projects. 🤣🤣🤣
Kumbe wakenya wengi kwenye huu uzi wa Dar vs Nairobi ni wajaluo? Nilipata kusikia wajaluo kule Kenya wana hali mbaya sana kimaisha kwa kulinganisha na wakenya wengi, alafu ndiyo wengi kuliko wote kama wasukuma huku kwetu, pia nasikia wananyanyasika sana na ndiyo wanaoishi Kibera na maeneo mengine mabovu.Wengi humu ni jaluo na "wako kwa serikali" "mtu wao yupo kwa serikali" hawapendi namna mnavyo share hizi mambo humu. 😂😂😂