Bro, you couldn't get this kind of amateur photograph quality in 2005. All in all, my point was some of the things you keep repeating here about Kenya are literally present in your country but you're too obsessed with Kenya to notice.This was back in 2005, and the project failed.
Sawa, hiyo picha ni ya Mwanza Ethiopia. 🤣 🤣Acha upumbavu hakuna vitu kama hivi Tanzania. Ivi unazijua vizuri sheria zetu za usafirishaji kweli wewe ama unaleta mzaha tuu hapa. Hiyo kitu haipiti barabara za TZ
Do you have proof the Mwanza ones did not operate?Pole unajitahidi kujilinganisha na lamu yenu, hiyo ilikuwa mafundi wa mwanza miaka ya 2014 walijaribu kutengeneza lakini hazijuwahi ingizwa kazini tofauti na za lamu ambazo zimezinduliwa juzi tu
Na umeikota hapa
View attachment 3452362![]()
HIZI HAPA AMBULANCE BAJAJ MADE IN MWANZA.
Huu hapa ubunifu wa usafiri rahisi kwa huduma ya afya, yaani kusafirishia mgonjwa kutoka eneo moja kwenda jingine kwaajili ya kupata matib...gsengo.blogspot.com
Hakuna hata charter ya hospitali wala kituo chochote 🤣🤣🤣🤣
Kuna wakati nilisema humu trying to impact knowledge in you is like casting pearls before swine. Hayo maneno in bold ni dhibitisho. Wacha nikuache. 🤣 🤣Wacha upumbavu wakati Moi anazindua hiyo BJ50 under Nyayo cars ulikuwa hujazaliwa wewe. It was a national invention and pride then na sio individual invention as you put it.
TZ has never used such ambulances.Bro, you couldn't get this kind of amateur photograph quality in 2005. All in all, my point was some of the things you keep repeating here about Kenya are literally present in your country but you're too obsessed with Kenya to notice.
We mbwa unatuletea something 2014
11 yrs ago, leo 2025?
Wakati nyie mnayo 2025 kabisa wazee wa 30yrs ahead?
Unafikiri sisi ni Mafala wa kustuck na upuuzi, like ngara ngara, chai maharage.
Hapo Mwanza now tunaequip mpaka Ambulance Boat
View: https://youtu.be/lD_JledFZ_w?si=ZeDdmd5cqRpiE57W
Nimeuliza swali, hiyo camera quality ni ya 2005? Mnapenda uongo uongo hata vitu vilivyo wazi. Wenzako wanasema 2014 wee umekwamilia 2005.TZ has never used such ambulances.
We once bought, back in 2005, but it wasn't viable, complete failure
A dead man and a fool share two things in common: the dead are none the wiser about their own death, and the foolish are blissfully ignorant of their own folly.Jihurumie mwenyewe na msubiri rufaa yenu CAF
Ati TZ pekee ?..🤣🤣🤣… that’s tea . Google Kericho or Limuru ( don’t forget Kenya’s number 1 in the world of black tea). And with better roads too sio Matope ka nyinyi . Hereby is Timau near my hometown, Nanyuki . And with tarmac road ..Njombe Tanzania - Tanzania pekee unaweza pata picha kama hii
View attachment 3452360
View attachment 3452361
Hakuna, but why uchukue vitu vya wengine na usiweproud na watu wene na mabo yenu, nini shida na vya kwenu?Sasa ni nini cha kujigamba hapa. Akili yako iko Sawa kweli? Or you escaped from the rehabilitation centre?
Hiyo ni Maoni yako ya kupayuka tu. As always, we lead, you copycat and follow us ..Tanzania, Tanzania Nakupenda kwa moyo wote. Kuna nchi hazitafika huku mpaka yesu anarudi (Najua unajua)
View attachment 3452372
View attachment 3452378
View attachment 3452379
Kericho kwa maeneo ya Tanzania ni sisimizi. Kuna mashamba ya chai hapa Tanzania, Iringa, Njombe, Mbinga, Kagera, Arusha, Kilimanjaro nk. Wewe unaongelea Kericho KwikwikwikwiAti TZ pekee ?..🤣🤣🤣… that’s tea . Google Kericho or Limuru ( don’t forget Kenya’s number 1 in the world of black tea). And with better roads too sio Matope ka nyinyi . Hereby is Timau near my hometown, Nanyuki . And with tarmac road ..
View attachment 3453014View attachment 3453015
Check, hizi mada za mwaka gani?Nimeuliza swali, hiyo camera quality ni ya 2005? Mnapenda uongo uongo hata vitu vilivyo wazi. Wenzako wanasema 2014 wee umekwamilia 2005.