ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mzigo ushafika
View: https://vm.tiktok.com/ZMSEWBM6C/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
Chang'ombeUsifananishe Changombe na vitu vya kijinga kama pipeline.
Kilimani iko wapi hapo bongolala? The picture is taken from Parklands sasa sijui hayo magorofa ya Upper Hill hayafai kuonekana or what's exactly your point?i see parkland, kilimani , westland, CBD and upper hill in one pic 😂😂😂😂😂
alaf bado unaambiwa 690km sq na nairobi nationl park iko ndani ya hzo km sq na bado ile misitu imezunguka kila kona
How should we believe the crap ikiwa players hawawezi lipwa salary na wanalia?Shabana nets over a million kshs in gate collections., kuna wakati kule Gusii stadium Kisii they collected Kshs5M, mashinani, haijawai kutokea Tanzania timu ikusanye pesa kiwango hiyo nje ya Dar.., fanya google rafiki., sio lazima uulize maswali..,
Dar is slum 80% si iko hivyo.Location ya hizo Airports hata huijui
Hawa jamaaa sasa tumewaziba midomo na watanzania wameonesha dharau ya hali ya juuu.
Yaan ukibisha kidogo mtz anakuambia nafunga koki ya mahindi.
View: https://vm.tiktok.com/ZMSEQex58/
Kitu wasichojua wakenya hata mkigomea mahindi sasa hivi kwa infrastructure zilizopo sasa hivi watu watahamia kwenye mazao yenye kuhitajika sana , mfano tu kuna trend ya watu kuhamia kwenye soya bean na ngano kwa wingi sana Tena Mashamba makubwa sana.
Soya na ngano bado haijawahi kosa soko.
Mwaka huu kimyaaaa🤣🤣🤣🤣
You call this one planning?🤣🤣🤣Tuonyeshe current picha za hayo maeneo,dar hamna slum,then hiyo chang'ombe unayoiota haina viwanja vya squarter,95 ya nyumba zake ni za kota na ndio moja maeneo ya kisure mitaa iliyopangiliwa na muingereza kama ilivyo magomeni,all in all ww ni mngese
Na Dodoma Chief?Tunazungumzia Dodoma DC we nyangau