Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unafatilia huu Uzi au ulikufa wewe.? 🤣🤣🤣🤣 in the past ten years tulikua na BRT lanes within Posta.? Now they are almost in all streets of Posta, clean environment than ever before, sahii tunazo gorofa kali za kuwaka waka vioo like no comparison in your 💩 country. Unaulizia changes.? Sahii within CBD tunayo SGR terminal. We Unaulizia changes.?
Nyef nyef, hii Pangani pekee imetosha. Kua CBD yenu.


View: https://vm.tiktok.com/ZMSE9mffU/
 

Hawa jamaaa sasa tumewaziba midomo na watanzania wameonesha dharau ya hali ya juuu.
Yaan ukibisha kidogo mtz anakuambia nafunga koki ya mahindi.

View: https://vm.tiktok.com/ZMSEQex58/

Kitu wasichojua wakenya hata mkigomea mahindi sasa hivi kwa infrastructure zilizopo sasa hivi watu watahamia kwenye mazao yenye kuhitajika sana , mfano tu kuna trend ya watu kuhamia kwenye soya bean na ngano kwa wingi sana Tena Mashamba makubwa sana.
Soya na ngano bado haijawahi kosa soko.
Mwaka huu kimyaaaa🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom