concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
waliunda COW ili wa-bypus Tanzania , wakapitisha vitu kadhaa kama single viza, matumizi ya I'd kwa Wana EAC ,ila mpaka leo hakuna walichofanikiwa , wanabaki kulalama eti mbona Uganda na kwingine tunaweza kwenda bila passport ila wanasahau wakati wanapitisha hivyo vitu wali - sideline Tanzania 🤣🤣🤣🤣.Kenya haina uwezo wa kupambana na TZ kidiplomasia, labba tuzembee au kupotezea wenyewe
Yanayotokea Leo ni matokeo ya COW