Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 1,754
- 4,677
Sitarajii utimamu wa uelewa kwa mtu mpumbavu kama wewe. 🤣🤣🤣Hawa majamaa buana. Kuna mwengine alisema Dar imeanza tu juzi saahii inatoa Nairobi povu kwa magorofa. Yaani Dar mji wa 19th Century mtu anakwambia umeanza tu juzi. 🤣 🤣