Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata wakilima bado sisi bidhaa zetu zitakuwa cheap kuliko zao. Hapa kwenye msosi hawachomoki leo Kenya is our backyard in food trade.
Hawa jamaaa sasa tumewaziba midomo na watanzania wameonesha dharau ya hali ya juuu.
Yaan ukibisha kidogo mtz anakuambia nafunga koki ya mahindi.

View: https://vm.tiktok.com/ZMSEQex58/

Kitu wasichojua wakenya hata mkigomea mahindi sasa hivi kwa infrastructure zilizopo sasa hivi watu watahamia kwenye mazao yenye kuhitajika sana , mfano tu kuna trend ya watu kuhamia kwenye soya bean na ngano kwa wingi sana Tena Mashamba makubwa sana.
Soya na ngano bado haijawahi kosa soko.
Mwaka huu kimyaaaa🤣🤣🤣🤣
 
Tuonyeshe current picha za hayo maeneo,dar hamna slum,then hiyo chang'ombe unayoiota haina viwanja vya squarter,95 ya nyumba zake ni za kota na ndio moja maeneo ya kisure mitaa iliyopangiliwa na muingereza kama ilivyo magomeni,all in all ww ni mngese
You call this one planning?🤣🤣🤣
images - 2025-07-09T145239.917.jpeg


What then will we say of Lang'ata below?
images - 2025-05-28T195741.670.jpeg
 
Hawa wanapiga kelele tu hivi kifo Cha COW kweli sio sabotage ya Tanzania? Kwanza tumuulize chapgt

DID TANZANIA SABOTAGE THE COLLITION OF THE WILLING

It would be too strong to say the collapse of the Coalition of the Willing was a direct sabotage by Tanzania — but Tanzania’s political stance and strategic actions definitely undermined the coalition and contributed to its loss of momentum.

Here’s why:


---

1. Tanzania’s Opposition to the Coalition

Tanzania (and Burundi) felt excluded because the CoW was pushing EAC integration without consensus.

The EAC Treaty requires all decisions by consensus, so Tanzania argued that Kenya, Uganda, and Rwanda were breaking the rules.

Tanzanian leaders under President Jakaya Kikwete and later John Magufuli saw the CoW as a “breakaway club” that could weaken the EAC.



---

2. Counter-Moves by Tanzania

Tanzania didn’t just criticize the coalition — it pushed alternative projects to reduce CoW influence:

Central Corridor promotion: Tanzania actively promoted its Dar es Salaam–Isaka–Kigali/DRC rail and road routes as an alternative to the Mombasa–Uganda–Rwanda route.

Rwanda–Tanzania SGR deal: Instead of relying on Kenya–Uganda–Rwanda SGR plans, Rwanda began engaging more with Tanzania for a direct link via Isaka to Dar es Salaam.

Closer ties with Burundi & DRC: Tanzania strengthened regional infrastructure and trade links with countries that were not in the CoW.



---

3. Strategic Impact

By offering alternative trade corridors, Tanzania weakened the urgency of the Kenya–Uganda–Rwanda SGR.

Rwanda saw Tanzania as a viable fallback, which reduced its dependence on Uganda.

This shift diluted the CoW’s leverage and reduced investor confidence in the bloc’s long-term unity.



---

4. Was it “Sabotage” or Strategic Defense?

From the CoW perspective, Tanzania’s moves looked like sabotage because they pulled Rwanda away from exclusive alignment with Kenya and Uganda.

From Tanzania’s perspective, it was self-defense: protecting its economic interests, upholding EAC rules, and preventing a political split in the community.



---

✅ Bottom line:
It wasn’t sabotage in the sense of direct destruction — but Tanzania intentionally countered and weakened the Coalition of the Willing by promoting rival projects, using EAC legal rules, and drawing Rwanda closer through alternative trade routes.
This, combined with Uganda–Rwanda tensions, helped accelerate the coalition’s collapse.


---
A thing only a regional power can do 😁
 
Hivi tuwashtue kwamba wakulima wakubwa ni walioenda shule Tanzania au tuwaachie.
Eti umgomee Sumry mahindi yake wakati anaweza Kodi meli na kuyapeleka misri🤣🤣🤣
Mimi mwenyewe ni msomi kuliko huyo fala na bado nafanya kilimo. Anafikiri kilimo ni kushika jembe na mbolea mwenyewe. Hizi mentality zao ni mbovu sana.
 
Back
Top Bottom