Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania ni Yanga na Simba kwisha.., hilo kubali yaishe.,
Ok unataka tucompare na timu gani kwa revenue collection za kwenye geti , tufanye hivi tunatoa simba na yanga the gor mahia na afc leopards .
Nitajie timu ya Kenya iliyowahi kuingiza revenue ya ksh 900,000 kwa gate fee.
Uhalisia wa mpira ni makusanyo .
Haya tuambie ni lini timu zenu zishawahi kuingiza 900,000 300,000 kwa geti
 
Ndio ujue mtanzania ni kilaza.., ingia google earth utazame
Ruai (Ruai!!! kama ni slum, basi Tanzania yote ni slum)..,
Uthiru
Riruta
Kawangware
Githurai..,
Tazama kwa urefu na upana wa kila eneo, ujionee.., hatufanani
kisha screenshot tuone kama utaona Ukibera pale.., hakuna uswazi iko level ya hizi sehemu kiukweli.., mko hovyo, poor dirt slums are segmented sehemu, ndio maana Ruto anaziondoa kirahisi.., pale Dar pengine mjenge jiji lingine., uswazi unazidi kutapakaa,kwa vile jiji ya kutafuta hela ni moja Tanzania., sasa mafukara wote kutoka vijijini wanakimbilia Dar kutafuta wakikosa utawapata Mombasa, Nairobi, Nakuru., hadi Migori, na wasio fanikiwa wanaishia kukuwa omba omba
Screenshot_20250629-110856.png
Screenshot_20250602-115929.png
Screenshot_20250602-094504.png
Screenshot_20250602-111652.png

Kama umeridhika na hali kama hii,naanzaje kukupinga sasa ww kilaza
 
Ok unataka tucompare na timu gani kwa revenue collection za kwenye geti , tufanye hivi tunatoa simba na yanga the gor mahia na afc leopards .
Nitajie timu ya Kenya iliyowahi kuingiza revenue ya ksh 900,000 kwa gate fee.
Uhalisia wa mpira ni makusanyo .
Haya tuambie ni lini timu zenu zishawahi kuingiza 900,000 300,000 kwa geti
Shabana nets over a million kshs in gate collections., kuna wakati kule Gusii stadium Kisii they collected Kshs5M, mashinani, haijawai kutokea Tanzania timu ikusanye pesa kiwango hiyo nje ya Dar.., fanya google rafiki., sio lazima uulize maswali..,
 
Maku bora hata uganda ndio waongee,hivi unajua 2025 kuna afcon total energies cup huko morocco,kundustan hampo,then TZ itawakikishwa ba Yanga na Simba sio?
So what?.., topic ilikua Tanzania fans ni Yanga na Simba.., Kenya and Ugandans love football crazy.., tokea school games going up fans are more.., usipotee njia.,
 
Yaani sura na nguo ni muonekano wa kitanzania kabisaaa hehe, vitenge ni Tanzania na kuelekea west Africa, mbona unajidharau hivyo hehehehehe
Bongolalas hawajui Grok has released an update for generating AI videos. 🤣 🤣 It will take them a long time kabla waanze kujua how to differentiate AI videos from real videos.
 
Shabana nets over a million kshs in gate collections., kuna wakati kule Gusii stadium Kisii they collected Kshs5M, mashinani, haijawai kutokea Tanzania timu ikusanye pesa kiwango hiyo nje ya Dar.., fanya google rafiki., sio lazima uulize maswali..,
Tumesema kusiwepo na gor mahia , hiyo mechi ni ya 4/5 /2025 na ilikuwa afc versus gor mahia
Tukisema tutajie nje ya dar zilizokusanya basi
Simba versus mbao fc
Jamhuri. stadium Dodoma
Tsh 117ml tsh= ksh 5.85
 
Back
Top Bottom