stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,987
- 37,547
sasa mm kosa langu nn 🤣🤣🤣 mm ndo nliwaambia mchore 4km's away 🤣🤣🤣🤣Unapenda kuchukua picha za hii stadium unazipiga screenshot na simu yako ya matakataka alafu unazipost zikiwa poorer quality na unajiona umefanya kitu cha maana sana. Hivi ni simu nzuri huna ama ni roho mbaya tu?