concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Hakuna timu ya Kenya yenye net worth ya 1mil usd .Shabana nets over a million kshs in gate collections., kuna wakati kule Gusii stadium Kisii they collected Kshs5M, mashinani, haijawai kutokea Tanzania timu ikusanye pesa kiwango hiyo nje ya Dar.., fanya google rafiki., sio lazima uulize maswali..,
Ila Tanzania hakuna timu iliyopo 10 yenye net worth ya below 1mil usd