Filaria
JF-Expert Member
- Jun 28, 2021
- 768
- 2,119
Omba omba wote mmewakana uraia Dah! 😅Of course, kila eneo, toka chini hadi juu.., kote kote., ili tuwasaidie omba omba wenu., we are rendering you redundant in all sectors, nyambaff.
Omba omba wote mmewakana uraia Dah! 😅Of course, kila eneo, toka chini hadi juu.., kote kote., ili tuwasaidie omba omba wenu., we are rendering you redundant in all sectors, nyambaff.
Unafikiri sisi ni kama nyie mnawazidi nguvu polisi na kuingia uwanjani bure bila kufuata utaratibu.See how the stadium is empty. Leo hamjakubaliwa kuingia bure?
Ushaawai fika Mombasa?Mombasa ni tanga iliyochangamka budaa, hehehe
I have to agree, that guy is immature.Bro mbona ukimtaja huyo Mama unapenda kuhusisha na dini?
Hii ni immaturity unaonesha aisee.
Sasa SSH na uislam vinaingilianaje!?
Kwahiyo nyinyi mnafanya skd au mnapokea skd's kwa ajili ya kufanya assembling.Hii ndio maana nasema you need to understand stuff,copy pasting is not enough. Sasa ona unauliza swali la kipuzi ju you don't understand the whole thing. 🤣🤣 Bila kulewa kitu kwa undani hata Google haiwezi kusaidia.
He wanted to be famous and here you are making him famous, so who's the fool?Kenya maisha magumu hadi vijana wanaamua kutafuta baba kwa nguvu sasa 😂😂View attachment 3431978
Hivi hamna sheria za kulinda wafanyakazi, yaani hata miwani ya kulinda macho, hamna, utafikiri bado mko karne ya 19?Nyinyi endeleeni kuvaa PPE. Sisi wacheni tutengeneze magari.
Read to understand not to reply, I clearly said SKD assembly is the process while SKD Unit is the product.Acha ujinga wewe SKD maana yake ni semi knocked down parts ambazo huunganishwa na parts nyingine kwenye assembly line kutengeneza a product while CKD ni complete knocked down parts zote zina tozwa kodi tofauti wakati wa uingizwaji nchini.
Ulitaka izizidi matako yako ndio ijulikane inazizidi?Mombasa inazidi Arusha na Mwanza idadi ya ghorofa tu basi. Hamna kingine cha maana huko Mombasa
Hao wafanyakazi unavyowaangalia wanakaa watu hawajalindwa?Hivi hamna sheria za kulinda wafanyakazi, utafikiri bado mko karne ya 19?
si hua nakwambia huwez kua tajiri kenya kama sio politician😂😂😂Sawa twat., kwa fikra zako uko sahihi, usipoteze nguvu😂😂😂🤣
Ulisema tutumie google maana maelezo yetu hukuyaelewa.Umekosa jibu ya maana, kama una akili counter my point with facts.
Bila Google hamana akili, na hata Google yenye munaquote hamuielewi. 🤣🤣
You pretend to know better than AVA yet your country has never assembled a single passenger car. 🤣🤣Hivi hamna sheria za kulinda wafanyakazi, utafikiri bado mko karne ya 19?
Read to understand not to reply, I clearly said SKD assembly is the process while SKD Unit is the product.
Why waste your time telling me what I already stated.
Kuna kichaa alisikika akisema humu eti CFAO haipo tena East Africa. 🤣 🤣Mombasa inaizidi Dar wacha kutaja vijiji chakavu humu..., ndio maana omba omba, vijakazi kutoka Tanzania wamejazana huku.., kuna hela, middle class population ni kubwa.., Tanzania Dar ndio jiji pekee la watu kukimbilia kutafuta..,
CFAO Assembly line, Mombasa
View attachment 3432035
View attachment 3432036
View attachment 3432038
AVA Assembly line Mombasa
View attachment 3432040
View attachment 3432041
View attachment 3432043
Mombasa fixing Tanzanian boats.., among others..
View attachment 3432062
Mombasa
View attachment 3432063
View attachment 3432064
View attachment 3432071
View attachment 3432073
si hua nakwambia huwez kua tajiri kenya kama sio politician😂😂😂
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1952670919857484263?s=46
South A ndio wapi? Mtembee muache kuwa ignorant.Huwa naona content creators wanaemda hapo Eistleigh kwa hofu😂
Na sasa hivi Wasomali wameshamaliza Eistleigh wamevamia South A, B, C.
Kenya haikuwahi kupata Uhuru.
Imagine ,TZ mgeni aje kufanya hiyo ujinga.
Ulisema tutumie google maana maelezo yetu hukuyaelewa.
Still tumekuletea majibu toka google bado unapinga!?
😂😂Dah aisee mkuu usizalishe mtoto atakua hasara ya taifa.
Semi knocked down ni bidhaa ambayo imeundwa nusu ama bidhaa nzima iliyovunjwavunjwa kwaajili ya kusafirisha na kwenda kuungwa nzima nchi husika.![]()
Skd sio process ya assembly kama unavyodai.
Na huu mtindo makampuni mengi hususan ya magari hutumia.
Unakuta chassis, gearbox na body ya gari vimesafirishwa Kila kimoja kivyake vyake Kesha vinakuja kuwa assembled Tanzania ama else where.
Kijana una shida gani kifikra!?