Ulisema tutumie google maana maelezo yetu hukuyaelewa.
Still tumekuletea majibu toka google bado unapinga!?
😂😂Dah aisee mkuu usizalishe mtoto atakua hasara ya taifa.
Semi knocked down ni bidhaa ambayo imeundwa nusu ama bidhaa nzima iliyovunjwa vunjwa kwaajili ya kusafirisha na kwenda kuungwa nzima nchi husika.
Skd sio process ya assembly kama unavyodai.
Na huu mtindo makampuni mengi hususan ya magari hutumia.
Unakuta chassis, gearbox na body ya gari vimesafirishwa Kila kimoja kivyake vyake Kesha vinakuja kuwa assembled Tanzania ama else where.
Kijana una shida gani kifikra!?