Mbona unavusha mada!?Eti ni gari gani hio haitengenezwi kwa assembly line? 🤣 🤣 🤣 Kama we ni mwanaume taja moja sahii tukucheke.
![]()
![]()
![]()
We ni taahira!?
😂😂😂😂Wewe umesema kuwa gari zote zinakuwa assembled we ni kichaa!?
Katika manufacturing inafanyika semi-assemblying sio total assembly.
Unachokifanya wewe Kenya na wanachofanya Toyota ni vitu viwili tofauti.
Je wewe Kenya unasuka engine?
Je wewe Kenya unasuka gearbox na chassis?
Mbugila tope hii.