concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,312
- 14,350
Skd na ckd vyote vinaendana.Unaruka kwa CKD kwani SKD imekushinda? 🤣🤣 Is it an assembly or not?
Havina utofauti
Skd na ckd vyote vinaendana.Unaruka kwa CKD kwani SKD imekushinda? 🤣🤣 Is it an assembly or not?
Assembly ni kitendo Cha kuunganisha skd ni product , je ni sawa?Kwani assembly sio kuunganisha? 🤣🤣 Unakimbianga kucopy and paste vitu huelewi.
Unajua maana ya kuassemble kitu au unaropokwa tu.🤣🤣 Bila kucopy paste vitu kutoka kwa Google akili yako inaisha nguvu. Sasa ebu uliza hio Google kama SKD ni assembly, ikikanusha nafunga hii account. 🤣🤣Skd haiwezi kuwa assembly kwa sababu ni assembly ni kitendo Cha kukifanya kitu kiwe productive wakati skd ni bidhaa iliyokatwa vipande ili iende kuunganishiwa huko iendapo.
Kwa hiyo unataka kuniambia kunya na mk....ndu ni sawa,?
Meza ujinga wako polepole, SKD na CKD ni vitu viwili tofauti.Skd na ckd vyote vinaendana.
Havina utofauti
Why then called N-card and not ATM card? You know what an ATM card means? Can you use an N-card to withdraw cash from teller machines?Did you miss the part I said that any card being used for payments which is your N-Card is still considered ATM? Ama wewe ATM ni ya withdrawal tu?
Embu soma from Google basi ikusaidie.Kwani assembly sio kuunganisha? 🤣🤣 Unakimbianga kucopy and paste vitu huelewi.
Peleka ujinga wako pole pole, SKD is not a product, it's an assembly process. Mambo ya manufacturing umetoa wapi na tunaongelea kuhusu assembly. 🤣🤣 Bila Google hauna akili kabisa.Assembly ni kitendo Cha kuunganisha skd ni product , je ni sawa?
Kwahiyo ckd ni manufacturing?
Hao achana nao, mwenzake nilimletea utofauti wa N-card na ATM card akadakia kusema N-card ni brand name.Why then called N-card and not ATM card? You know what an ATM card means? Can you use an N-card to withdraw cash from teller machines?
Kwahiyo nikiwa na travel card au store card ni ATM card sio according to you. Buree kabisa.Baboon umepata ATM card Juzi sasa hatutapumzika? Alafu Huyo quack pia ni Kama hata hajui ATM card ni nini.
SKD assembly is the process, product inaitwa an SKD unit. 🤣🤣 Bongoslum kila mtu ni primary school dropout, you can't comprehend basic English.Embu soma from Google basi ikusaidie.
Semi knocked down ni bidhaa ambayo eidha imekuwa partial assembled na inasafirishwa kwenda kuwa Total assembled nchi husika.
Skd ni bidhaa sio process.
Embu soma hapo chini.View attachment 3432188
Soma hapo utupe jibu.Peleka ujinga wako pole pole, SKD is not a product, it's an assembly process. Mambo ya manufacturing umetoa wapi na tunaongelea kuhusu assembly. 🤣🤣 Bila Google hauna akili kabisa.
Kwanza hajui maana ya teller pili hajui maana ya machine msamehe bure tuu mshamba huyo.Hiyo ni ATM card.)? 🤣🤣🤣🤣 can someone withdraw money with N-card…? Hujui hizo vitu bush boy. Stay on your lane.. vitu hizo utawahi Ona siku ukitoka hapo kunyarenda.
Umesoma maelezo vizuri we kijana??SKD assembly is the process, product inaitwa an SKD unit. 🤣🤣 Bongoslum kila mtu ni primary school dropout, you can't comprehend basic English.
Huu ndio uchafu wa mji mnaopigia kelele humu eti Kisumu City! Does a city look like that? 👆Kisumu affordable housing in the distance. These kind of projects are all over the country. Kisumu alone has 7 ongoing projects of that magnitude.
Notice the cranes and green nets.
View attachment 3428554
Umekosa jibu ya maana, kama una akili counter my point with facts.Umesoma maelezo vizuri we kijana??
Au tukusaidie kusoma!?
Siamini hili bao kwanini limezaliwa😂😂😂 Daah.
Bora yule anayepaste anakuwa na ufahamu wa hicho kitu kuliko anayeabika kama weweUnajua maana ya kuassemble kitu au unaropokwa tu.🤣🤣 Bila kucopy paste vitu kutoka kwa Google akili yako inaisha nguvu. Sasa ebu uliza hio Google kama SKD ni assembly, ikikanusha nafunga hii account. 🤣🤣
hawaelewi maana ya complete knocked down na semi knocked down parts.Hao achana nao, mwenzake nilimletea utofauti wa N-card na ATM card akadakia kusema N-card ni brand name.
Mbugila vumbi mwingine huyu huku anasema Skd ni process badala ya bidhaa😂😂😂😂.
Kenya elimu ni mtihani sana.
Umeshindwa kuuliza Google kama SKD is an assembly or not? 🤣🤣 Kupaste sio shida lakini you need to understand what your are copy pasting.Bora yule anayepaste anakuwa na ufahamu wa hicho kitu kuliko anayeabika kama wewe
Kwahiyo hapo kimoja kimoja ni assembling kingine ni complete manufacture?🤣🤣🤣🤣Meza ujinga wako polepole, SKD na CKD ni vitu viwili tofauti.
Acha ujinga wewe SKD maana yake ni semi knocked down parts ambazo huunganishwa na parts nyingine kwenye assembly line kutengeneza a product while CKD ni complete knocked down parts zote zina tozwa kodi tofauti wakati wa uingizwaji nchini.SKD assembly is the process, product inaitwa an SKD unit. 🤣🤣 Bongoslum kila mtu ni primary school dropout, you can't comprehend basic English.