Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wewe quack utajua wapi maana ya ATM card? Nyinyi ndio wale wanaamini ATM card ni ya withdrawal pekee. Fala sana.
Narudia kukufundisha,ATM card ni Kadi inayojumlisha huduma za kifedha kutoka akaunti ya benki ya muhusika.
N-card ni kadi iliyounganishwa kimtandao kwaajili ya huduma aina fulani.N-card haihitaji rununu ila HUWEZI kutumia ATM card bila rununu.
ATM card ni Kadi ambayo ipo more personal ila N-card anaweza kutumia yeyote tu kwaajili ya kurahisisha malipo ya huduma husika.
Mfano mie naweza kukupa N-card yangu kama Ina Salio uka swipe tu kwenda kuingia kwenye kivuko ama mwendokasi.
Ila ATM card yangu HUWEZI kutumia pasi ya mm kukupa rununu/password.
 
Wacha kujipa umuhimu mkundurenda mpumbavu, no one knows you. We kaoshe vyombo sijui ubebe box 📦 za wenyewe huko. Unajipa umuhimu kwa Diamond.? 🤣🤣🤣🤣 kuna wasenge wengine bhana. Diamond anaweza kukuajiri ukate majani pale nje kwake.
Actually I am well known in my neck of the woods .. but for you Mr. Rebrand, you always be a baboon to us..😁😁
 
Yameshatokea! Tulivyo SEMA hapa kwamba Tanzania watatutia aibu na hii uLDC wait na slums kila kona. Sasa hii aibu Gani!!!!!!!
Screenshot_20250802-180701.jpg
Screenshot_20250802-180631.jpg
 
Back
Top Bottom