Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shamba la miwa Bagamoyo. Hapa Bhakresa amewapa wananchi kulima. Unapewa ekari kadhaa. Anakupatia Ardhi, Mbegu anakupatia yeye, mbolea na kila kitu. Wakati wa mavuno mnagawana mapato. Wakenya wanaumia sana wakiona haya

1754389660019.png
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Unazidi kujidhalilisha ndugu yangu
Skd ni product wakati assembly ni njia ya uzalishaji.
Elimu yako ya wapi weye

SKD (Semi Knocked Down) na semi assembly ni dhana mbili zinazotumika katika uzalishaji na mkusanyiko wa bidhaa, hasa katika sekta kama magari na vifaa vya kielektroniki. SKD ina maana ya bidhaa au sehemu zake kugawanyika sehemu kubwa, kisha kusafirishwa kutoka kiwandani kwa ajili ya mkusanyiko wa mwisho mahali pa matumizi, mara nyingi kwa lengo la kupunguza gharama za ushuru na usafirishaji pamoja na kuunda ajira katika nchi za walengwa. Kwa upande mwingine, semi assembly inaelezea hatua ya kati katika mchakato wa uzalishaji ambapo baadhi ya sehemu zimeunganishwa lakini bidhaa bado haijakamilika. Hii ni sehemu ya mchakato wa ndani wa utengenezaji ambapo bidhaa au sehemu zake husanyiko kwa hatua, kuimarisha ufanisi wa uzalishaji. Kwa kifupi, SKD inahusiana zaidi na usafirishaji na taratibu za biashara, wakati semi assembly inahusiana zaidi na mchakato wa ndani wa uzalishaji na mkusanyiko wa sehemu. Tofauti hizi ni muhimu kueleweka ili kuboresha usimamizi wa mnyororo wa ugavi na uzalishaj
Kwa hivyo SKD sio Assembly?

Anyway why I'm even arguing with someone who takes word for word from Google then puts them on a translator then paste it to appear smart na bado haelewi kitu amepost.
 
Skd ni product sio processs.
Kuna utofauti wa assembly na product.
Skd wakati inaungwanishwa Inaweza ikafanya na complete robots au manual
Mfano naweza nikanunua basi kutoka Thailand likafungwa kwenye maboksi likaja kuunganisha tanzania hata bila kuhitaji niwe na kiwanda .
Mfano wa skd ni kwenye machinery zinaletwa kwa mabox then zinakuja kuunganishiwa letsay kupata kiwanda

Hujui lolote ndo maana unataka kimbia ,
 
Kwa hivyo SKD sio Assembly?

Anyway why I'm even arguing with someone who takes word for word from Google then puts them on a translator then paste it to appear smart na bado haelewi kitu amepost.
Is assembling a product?
Skd ni parts ambazo zinakuja kuunganishiwa zinaweza kuunganishiwa either kwa mashine tu au mchanganyikl
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Unazidi kujidhalilisha ndugu yangu
Skd ni product wakati assembly ni njia ya uzalishaji.
Elimu yako ya wapi weye

SKD (Semi Knocked Down) na semi assembly ni dhana mbili zinazotumika katika uzalishaji na mkusanyiko wa bidhaa, hasa katika sekta kama magari na vifaa vya kielektroniki. SKD ina maana ya bidhaa au sehemu zake kugawanyika sehemu kubwa, kisha kusafirishwa kutoka kiwandani kwa ajili ya mkusanyiko wa mwisho mahali pa matumizi, mara nyingi kwa lengo la kupunguza gharama za ushuru na usafirishaji pamoja na kuunda ajira katika nchi za walengwa. Kwa upande mwingine, semi assembly inaelezea hatua ya kati katika mchakato wa uzalishaji ambapo baadhi ya sehemu zimeunganishwa lakini bidhaa bado haijakamilika. Hii ni sehemu ya mchakato wa ndani wa utengenezaji ambapo bidhaa au sehemu zake husanyiko kwa hatua, kuimarisha ufanisi wa uzalishaji. Kwa kifupi, SKD inahusiana zaidi na usafirishaji na taratibu za biashara, wakati semi assembly inahusiana zaidi na mchakato wa ndani wa uzalishaji na mkusanyiko wa sehemu. Tofauti hizi ni muhimu kueleweka ili kuboresha usimamizi wa mnyororo wa ugavi na uzalishaj
Ingekua wewe ni mwalimu, hakuna mwanafunzi atayefeli.
 
Kwani SKD sio assembly? Google imeshindwa kukusaidia, si ulete hizo copy paste articles zako tuone zinasema nini. 🤣🤣
Skd haiwezi kuwa assembly kwa sababu ni assembly ni kitendo Cha kukifanya kitu kiwe productive wakati skd ni bidhaa iliyokatwa vipande ili iende kuunganishiwa huko iendapo.
Kwa hiyo unataka kuniambia kunya na mk....ndu ni sawa,?
 
Unajua maana ya kuassemble kitu au unaropokwa tu.🤣🤣 Bila kucopy paste vitu kutoka kwa Google akili yako inaisha nguvu. Sasa ebu uliza hio Google kama SKD ni assembly, ikikanusha nafunga hii account. 🤣🤣
 
Kwani assembly sio kuunganisha? 🤣🤣 Unakimbianga kucopy and paste vitu huelewi.
Embu soma from Google basi ikusaidie.
Semi knocked down ni bidhaa ambayo eidha imekuwa partial assembled na inasafirishwa kwenda kuwa Total assembled nchi husika.
Skd ni bidhaa sio process.
Embu soma hapo chini.
Screenshot_20250805-140456.png
 
Assembly ni kitendo Cha kuunganisha skd ni product , je ni sawa?
Kwahiyo ckd ni manufacturing?
Peleka ujinga wako pole pole, SKD is not a product, it's an assembly process. Mambo ya manufacturing umetoa wapi na tunaongelea kuhusu assembly. 🤣🤣 Bila Google hauna akili kabisa.
 
Back
Top Bottom