Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeah because the only important thing in Kenya ni Nairobi
Tanzania tuna Dar es Salaam, tuna Zanzibar, Arusha kote huko Airport zake zipo busy sana. Nyinyi bila Nairobi ni bure kabisa
Mombasa alone combines those nonsense.., Mtanzania anajitekenya hehe
 
Taifa fukara lazima tutafune pesa zao ata kama ni ya madafu.., Kenya, China, Wazungu, Wahindi na Waarabu wanaitafuna Tanzania kupitia njia mbali mbali..,
1754368099398.png

1754368113950.png

1754368475954.png
 
I be placed on bewilderment,
how do the poor kunyans pretend to hate communism yet your leaders wanakimbilia china kutembeza bakuli on monthly bases,
The communist republic generosity to the third world Kenya has became so legend over the decades.
1. China is not a communist country anymore. They became rich after they dumped communism. Read about Hua Guefong. He's the one that moved China from communism and embraced capitalism and they started developing.
2. Communism or not, China is China and Tanzania is Tanzania. Tanzania's economy is smaller than the economy of a small town in china. Stop acting like you own China, it's China that owns you, not the other way round.
 
yani kenya huwez kua tajiri kama sio politician au kwenye familia ya politicians never ever 😂😂😂😂😂

View: https://x.com/kenyansays/status/1952373306604351862?s=46

Yaani mtu ni tajiri kwanza sasa anataka kukua mwanasiasa.., yaani ukilaza ni laana walai., jamaa kesha tengeneza pesa, sasa ni power ndio anatafuta, sio kama Tanzania mtu anaingia siasa kama ni fukara kisha anajitajirisha kupitia ushuru za mafukara.., soma tena what u posted hehehehe.., ulichanganyikiwa kitambooo!
 
Unajua nini kuhusu British revolution.? Na movements za Chartism.? Hopefully kukosa kusoma properly shule Ndio sababu ya ufala unaongea
 
Sasa mombasa itashindana na city gani ya Tz .? 🤣🤣🤣 the most important cities in Tz are the ones that are the fastest growing cities in the region, hadi sasa mombasa ina nini ukiachana na bandari.? 🤣🤣🤣🤣
Endelea kulia, tazama Dar kisha fyata., ndio Mombasa., so hizi mafeelings peleka vijiweni mjitekenye kuleee..,
 
Unajua nini kuhusu British revolution.? Na movements za Chartism.? Hopefully kukosa kusoma properly shule Ndio sababu ya ufala unaongea
Ukweli inakuacha hoi., pole sio makosa yangu, tutaitafuna Tanzania hadi basi.., contemporary economics, wewe lala kwa historia kilaza..,
 
Ukweli inakuacha hoi., pole sio makosa yangu, tutaitafuna Tanzania hadi basi.., contemporary economics, wewe lala kwa historia kilaza..,
Kumbe mnaitafuna Tanzania na hatujui. .? 🤣🤣🤣 sio nyie mnaolilia ajira za howkers in Tz.? So can those cheap brokers from kunyarenda waitafune Tz. This sounds funny. 😆
 
Toyota is the largest automobile manufacturer by volume, watakosaje kampuni za kutengeneza car parts for their assembly plants. Si nilidhani ulituambia gari hazikui assembled zinatengenezwa kila kitu kwa factory moja kama peremende. Naona umeanza kuchanuka sasa hadi umejua kuna plants za kutengeneza engine na other components. 🤣 🤣 🤣
Kauli yangu inasimama pale pale sio gari zote zinakuwa semi-assembled.
Kuwepo kwa hizo kampuni haku justify unachokieleza hapa.
Kuna gari nyingi sana Kila kitu huundiwa pale pale sio tu Toyota Kuna kampuni zingine mathalan Rolls Royce.
 
Back
Top Bottom