Photo effectsHivi karibuni, mi naona kama Samia anazidi kuwa mweupe, au ni macho yangu ya uzee tuu?
Photo effectsHivi karibuni, mi naona kama Samia anazidi kuwa mweupe, au ni macho yangu ya uzee tuu?
Unaona unavyodhihirisha ujinga wako!?Huwezi niambia kitu, si ulisema not all cars are assembled. 🤣 🤣 🤣
Ila lile kundi Uganda akikaza anapita.Kunyans, do you see your mates , uganda?
This is what Moroccans gonna do to hara mbee starters.
Nenda upingane na Serikali yako. This si their data and they are saying Manbati rolling Mill only did 2M passengers in 2024. Yani JNIA ni level ya Kisumu airport kabisaa 😂😂😂
View attachment 3431507
Uko sahihi hata Chadema nako Tundu Lissu kuwekwa tu ndani makali hakuna tena na uchaguzi wamesusia.Inawezekana kabisa ila vyama upinzani lazima vijijenge, visiwe vyama vya mtu mmoja. Ona CUF, alipokufa Maalim na Lipumba kuzeeka, ni kama chama hakipo.
Basi kero zimezidi zaidi alipoingia huyu mama kwa mujibu wa wadau.Shukran.
Siyo sawa znz wamezidi kubebwa, mfano hii ya makamu lazima awe Mzanzibar, haikiwepo kipindi cha Mwinyi kirudi nyuma.
Rasimu ya Warioba inaondoa kero zote hizi kwa kuweka serikali tatu.
The trucks seen on the footage don't make up to 250. What are you talking about?Your not so smart, you only exported 6.5 million usd to Ethiopia in 2023, wacha kujipatia self importance. 🤣 🤣
Ukiona Jussa yupo kimya ujuwe Tanganyika inaliwa.Basi kero zimezidi zaidi alipoingia huyu mama kwa mujibu wa wadau.
Inaonekana kama amezidi kui favor zaidi Znz kuliko bara.
sisi bado pia tuna shida kwenye sera ya uwekezaji japo tunajitahidiNasikia kulikuwa na majadiliano kuwa Yutong nao wajenge kiwanda cha mabasi, sijui ilifikia wapi? Kama unajua ChoiceVariable au ndo roumers za uongo 2
Ila hio ni hatua nzuri ya uwekezaji sasa hawa nyumbu wasituletee sijui kiwanda cha Matatu, tutawatimua sasahivi 😆😆
Haiendi popote mkuu, tena wameipaka hadi bati rangi ya blue, ndio station ya MGR hiyo.Natumaini wanampango wa kuondoa hiyo karakana ya mkoloni na kuipeleka mbali na city center.
licha ya kua walikua wana benefit sana ila hawa jamaa wanaiogopa sana tanzania yani wanaihofia sana hasa kiuchumi na kimaendeleo hawana amani kabisa 😂Hata mimi nashangaa. Kuna Wahindi wengi sana Tanzania, waarabu, wachina, wakongo nk kwa nini Kenya pekee ndio wanalalamika? Wanajiona nani haswa hadi ban isiwahusu?
Inaonekana Kenya ilikuwa silently benefiting from Tanzania than we are benefiting from them.
Hapa wamefukia nini? 😂😂😂😂 au washavuna mihogo 😂😂😂😂The Karasani stadium, huu ndio wanafananisha na Ben Mkapa 😃😃😃
View attachment 3431541
Si maanishi stesheni ya mkoloni bali ile karakana upande wa kulia, ukiwa unaelekea kisini (south bound).Haiendi popote mkuu, tena wameipaka hati bati rangu ya blue, ndio station ya MGR hiyo.
na yet bado munaagiza fortuner kwa wingi kutoka japan 😂😂😂😂
Kenya exports to Djibouti was worth 11 million USD, almost double what you exported to Ethiopia. To Ethiopia the export was worth 112 million USD. Wewe una wazimu.The trucks seen on the footage don't make up to 250. What are you talking about?
🤣 🤣 🤣 Woiyeeeeee
View: https://x.com/tpa_tz/status/1804618601657454682
Munasomeshwa number na Lamu port. 🤣 🤣
View: https://x.com/AbdishukriOsman/status/1950615312715722920
Ebu tuambie ni gari hio haitengenezwi kwa assembly line tukucheke sahii. 🤣 🤣 🤣Unaona unavyodhihirisha ujinga wako!?
Yes it is true not all cars are assembled.
So you want to tell me all cars are assembled!?
😂😂😂 Oneni hii nguruwe pori!
Kule juu ulisema kuwa gari zote huwa zinaundwa kwa mfumo wa assembly Yani parts zinachukuliwa sehemu tofauti na kuunda gari,nikakukatalia BIG NO.
Mfano Hilux imeundwa Japan na parts zote zimeundwa Japan kuanzia engine hadi body fibre.
Kenge hii mbugila tope mmoja.
Kwahiyo unataka kusema all cars are assembled!?
😂😂😂Jamani oneni hii mbugila tope.