ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Muna assemble passenger car gani huko bongoslum?leta statistics hapa mulishindwa ku assemble probox na ziko over 80% ya gari zote kenya 😂😂😂😂😂
CFAO hafanyi aseembling isipokua kwa order ni kama vile AVA anachofanya
haya tuambie so far wakenya wangap wanatoa orders hapo zaidi ya zile international companies na watu wachache sana, wote munakimbilia japan kununua used cars
Wakati kipchirchir arap Teargass anajipinda humu na kupiga kelele za 'kujaza' uwanja kila kukicha😎
View: https://m.youtube.com/watch?v=3Uc9u7QenCQ
Check my previous post ujifunze …
anakitu gani cha kujifunza kwa ng'ombe kama wewe unayekataa vitu vinaonekana live, ikiwa ruto anawabeba ufala alaf sijui hua munaandamana ya nn 😂😂😂😂Check my previous post ujifunze …
You call that Chinese aid ( it’s not) whereas Mkaswazi is 100% Chinese gift … uko sawa kwa akili my friend?..😳Chinese aid .
its a PPP owned by chinnese 😂😂You call that Chinese aid ( it’s not) whereas Mkaswazi is 100% Chinese gift … uko sawa kwa akili my friend?..😳
Wait for the rooftop first ..then toa maoniUGLY DESIGN
A PPP… ok .. na Mkapa ni nini ?… chakula ya bure kwa maskini …😁its a PPP owned by chinnese 😂😂
Magufuli alimtoa huyu Lugumi alipoingia tu Madarakani. Ni mama na kundi lake la waislam ndio wamemrudisha.Wajitahidi bana.
Jeshi la VIETNUM lina mradi wa HALOTEL hapa, sisi tunazindua mradi wa kokoto na kumpa Lugumi tenda mpaka za nguo.
Wakaze
Uko sahihi kaka, are you in aviation industry?2.7million good numbers 2025 we will be around 3million plus
Now kuna flightlink na inazidi kukua precision kaongeza ndege so the domestic numbers will be up
Air Tanzania still growing it has added Kinshassa and likely Lagos and Kigali this year so international numbers will keep going up , need to add more routes and planes to make it a better hub
Btw how many pax did Mombasa get last year
I bet nothing will change, acha nisubiri nioneWait for the rooftop first ..then toa maoni
Na bado ukiweka hizo zote pamoja hazifikii Nairobi.Yeah because the only important thing in Kenya ni Nairobi
Tanzania tuna Dar es Salaam, tuna Zanzibar, Arusha kote huko Airport zake zipo busy sana. Nyinyi bila Nairobi ni bure kabisa