Haitwi collabo, collabo ni ya musicians, kwa car industry inaitwa joint venture. Toyota outsources most car parts from Denso and Aisin who also supply parts to other manufacturers such as Honda, Nissan, GM, Mitsubishi, Subaru etc. Mimi huwezi nifunza chochote kuhusu magari, the moment ulisema not all cars are assembled ndio nilijua we ni fala, your car knowledge is too shallow.Unadhihirisha ushamba wako.
Kuna magari kama Toyota supra na Toyota c-hr haya magari yameundwa na kama collabo naweza sema.
Kwasababu supra inatumia engine za BMW Z-4,na Toyota pamoja na BMW wana association kwenye hilo,ndio maana supra inaitwa mtoto wa BMW kwasababu inatumia engine ya Bmw Z4.
Ila magari mama yanayoundwa na Toyota pasi na association yeyote Ile mathalan Hilux, Camry,harrier kuanzia from scratch Kila kitu kinaundiwa pale.
Nenda kajifunze kuhusu magari ndio urudi hapa.