Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,994
Caf wamechukua rushwa kwa ruto,jamaa anataka kutumia soka kutuliza hizo kunyan but hajui michuano yenyewe hii ni ya kupita tu,ruto ameikazia fuvu hii michuano kuliko rais yoyote ukanda huu akiamini TZ kumetulia eti sababu ya simba na Yanga 😃Ni aibu kwa CAF kuchagua uwanja una pich mbovu hivi kuchezwa fainali shame shame