Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Looks like Geography is not your forte.
Imagine, you can't deport even Lames and beggers.

Screenshot_20250804_170745_Instagram.jpg
 
wakat rasi ananunua ticket na kugawa kwa wafanyakazi wa serekali na wale kalenjin wenzie huku kwetu kiwanda chapili cha FAW kimejengwa bagamoyo apart of that in kibaha 😂😂😂

hichi kitazalisha 5000 units by 2027 mwaka huu wataanza na 2000 units

View attachment 3430991View attachment 3430994View attachment 3430995View attachment 3430997View attachment 3430998View attachment 3431000View attachment 3431001View attachment 3431003View attachment 3431004
Nasikia kulikuwa na majadiliano kuwa Yutong nao wajenge kiwanda cha mabasi, sijui ilifikia wapi? Kama unajua ChoiceVariable au ndo roumers za uongo 2

Ila hio ni hatua nzuri ya uwekezaji sasa hawa nyumbu wasituletee sijui kiwanda cha Matatu, tutawatimua sasahivi 😆😆
 
Kile kipindi cha dark days kila kitu tulicho kuwa tunauza nje ya Africa kilipitia kwao wakajua maisha yatakuwa hivyo siku zote na wanasahau kuwa tulipitia kwao kama middle man sababu mabwana zao hatukukubaliana nao na sasa mambo yamekaa sawa wanaanza kulialia kisa sheria za Tanzania
mbona sisikii uganda wakilalamila, sioni rwanda au burundi wakilalamila kwann ni hawa mbwa peke yao 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom