Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fungulia dogie. 🤣🤣🤣
Unaumia ukiwa wapi?😂😂🤣👇👇👇


1754227005772.jpeg


1754227024249.jpeg


1754227048046.jpeg
 
Kakiwanja ka 45k seats na bado mmekafungulia dog and it still empty. 🤣🤣🤣View attachment 3429688
Kwa ufala yako hata huweziona hapo bado game haikusaidii imeanza. Clearly I can see Congolese players doing warm up.

Najua unaumia lakini itabidi tu uzoee 😂😂😂👇👇

Kujaza Stadium is not a new thing to Kenyans.

1754227005772.jpeg


1754227024249.jpeg


1754227048046.jpeg
 
Tatizo la hawa mbuzi wanajiona kama wako level fulani ya juu kumbe ni wale wale wa dunia ya tatu. Dunia ya tatu hatuchekani matatizo yetu ni yale yale. Eti unacheka Tz kutojaza uwanja wa 60k kwamba raia wao masikini.
Hii ni zaidj ya umaskini. Ni utamaduni wa watu. Sisi sio kama Waingereza au Wajerumani qmbao soka ni zaidi ya dini kwao. At least Simba na Yanga kidogo tunaweza kujaza 60k stadium.
Ndio maana hata humu tulisema kujenga uwanja capacity zaidi ya 30k nje ya Dar ni kupoteza hela.
 
Back
Top Bottom