Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,051
- 35,238
Guys hebu angalieni ndani ya vyumba vya uwanja wa Kasarani ni vituko
View: https://youtu.be/JVJArStyBVk?si=C8EzTJqt9eKg1Qwv
Kisirani inaenda kutia aibu leo,hivi hata pitch-side advertising ni LED au ndio jua kali style wanazungushia mabati 😂