Sababu mnaangalia kutoa makosa na kufanya ubishi wa kijinga Wala sio kuenjoy game. Pia sisi tungeangalia game zenu na hiyo attitude tungeona hizo nyasi ziking'oka.Hapa uhalisia tunauona , pitch nyasi zinachomoka mtu akipiga shoot .
Leta ya dar ambayo nyasi zilikuwa zinachomoka🤣🤣🤣🤣.
Yaaan hii pitch yenu hata Ile ya karatu ni bora
Sawa. 🚮🚮Hakuna sehemu kwenye pitch kuko kipara pale uwanja wa Mkapa usitudanganye.
Buana pitch inaonekana mbovu kabisa , hapa unatetea tunaenda kukuleteeni picha za ubovu wa pitch zenuSababu mnaangalia kutoa makosa na kufanya ubishi wa kijinga Wala sio kuenjoy game. Pia sisi tungeangalia game zenu na hiyo attitude tungeona hizo nyasi ziking'oka.
Hiyo Talanta yenye mlisema haitojengwa? mwaiofhawaii kuja uona washaafika acceptance stage.😂😂😂Kenya kauwanja ka watu 48,000 kameshindikana kujaa CHAN.
Red flag kuwa Talanta ya 60,000 seats ni White elephant.
Kenya kauwanja ka watu 48,000 kameshindikana kujaa CHAN.
Red flag kuwa Talanta ya 60,000 seats ni White elephant.
Ubovu uko wapi?Buana pitch inaonekana mbovu kabisa , hapa unatetea tunaenda kukuleteeni picha za ubovu wa pitch zenu
Nyie pambaneni na riadha aisee, mpira bado sanaaa, pambaneni na meter 50,000.Sababu mnaangalia kutoa makosa na kufanya ubishi wa kijinga Wala sio kuenjoy game. Pia sisi tungeangalia game zenu na hiyo attitude tungeona hizo nyasi ziking'oka.
Leo tuko hapa imekuwaje mmeshindwa jaza uwanja wa 48,000🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo Talanta yenye mlisema haitojengwa? mwaiofhawaii kuja uona washaafika acceptance stage.😂😂😂
Walipata pictures za before game wakadanganayana ati Kasarani iko empty. We can’t be the same.Leo ndio official opening match, ile ya jana ilikua rehearsals.
![]()
Mbona unarukaruka?😂😂Leo tuko hapa imekuwaje mmeshindwa jaza uwanja wa 48,000🤣🤣🤣🤣🤣
Na tukisema mpo obsessed mnakasirika.. imagine hamna mkenya hapa alishugulika na game ya TanzaniaLeo tuangalia ili tunataka tuone jinsi pitch zenu Zina low quality ,
Fungulia DogLeo ndio official opening match, ile ya jana ilikua rehearsals.
![]()
Wana watch game yetu na machungu, yao hata highlights sikuona.Walipata pictures za before game wakadanganayana ati Kasarani iko empty. We can’t be the same.
Kwani haujajaa?Leo tuko hapa imekuwaje mmeshindwa jaza uwanja wa 48,000🤣🤣🤣🤣🤣