Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Imagine mtu anaona N- Card anakaza fuvu na kusema ni ATM card, Mwingine anaona REA electricity accessibility anawaza nguzo inafika kijijini ila haiconnect households 😂😂😂😂. Kuwa mkundustan ni laana😂
😂😂😂 Laana kubwa, asichokijua pia REA kuunganisha umeme vijijini ni very cheap almost affordable kwa kila household around 27000/ tshs.. Kazi kupiga kelele kwa wasiyo yajua

NB: Minachokiona Battle ilishaisha kitambo zaidi tunawafariji majirani
 

Nyinyi mlishashindwa kujaza stadium. See how Kenyans are going to do it.

1000037686.jpg
1000037685.jpg
 
Third world man ndio maana takataka kama hiyo hawawezi kuweka hata kwenye page yao achilia mbali kuiweka kwenye official dealership showroom 😂😂😂 hawawezi hata kuipa certificate approval
Tunajua wewe ni primary school dropout na hujui big international corporations usually operates via regions. Sasa ona vile unakaa mjinga ju Kenya ndio regional headquarters ya East Africa.
Kwa hivyo huko bongoslum munanunua vitu ambavyo havina certificate of approval.🤣 🤣


View: https://www.instagram.com/p/DLo23KQInKY/?igsh=OGYydzlsd29oY2t5
 
Back
Top Bottom