Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 3429760
Hii ndio hiyo picha uliyoipost sasa hivi maku,zoom urself
Unaumia ukiwa wapi?

1000037776.jpg
 
Tusubiri tuone ila Kenya haitoboi.
Zambia 83 kwa rank,Morocco ya 12 na Angola ya 85.
CAF amewaonea sana Kenya.
Tanzania kapewa vilema watupu kasoro Burkina Faso tu.
CAR, Mauritania na Madagascar hamuna kazi mule twajipigia tu.
Kiufupi Taifa stars ishaongoza kundi na haishuki hapo juu.
 
Mnakuanga mafala Sana. Kwani ranks ndio ucheza ball?🤣🤣🤣.

Mbona hiyo rank haikufanya mjaze Makwapa Jana?
 
Tusubiri tuone ila Kenya haitoboi.
Zambia 83 kwa rank,Morocco ya 12 na Angola ya 85.
CAF amewaonea sana Kenya.
Tanzania kapewa vilema watupu kasoro Burkina Faso tu.
CAR, Mauritania na Madagascar hamuna kazi mule twajipigia tu.
Kiufupi Taifa stars ishaongoza kundi na haishuki hapo juu.
Hio DR Congo tumepiga ni ya ngapi? Mbona huandiki hio? 🤣 🤣
 
Phase 2 ya kasarani is next after CHAN and involves exterior work. The whole area will be modernized to world class standards. Nyayo stadium phase 2 coming too after CHAN. Involves roofing ( I saw the renders. It’s world class). I foretold you about Talanta lighting system mkanipiga . Now I am foretelling you about Kasarani exterior work and Nyayo exterior and roofing installation. They look amazing. Save this post.
 
Wakenya washaanza kujaza Nyayo Stadium where Morocco and Angola will play. Watanzania nao hata hawawezi jaza penye timu Yao inachezea🤣😂😂

1000037823.jpg
 
Back
Top Bottom