Zaidi ya kumi.uhhahahahha kwenu ziko ngap so far??😂
nilishawah kwambia tanzania ndio sehemu utakutana na gari za kifahari za kila aina yani huku sio lazma uwe politician ndio uwe na pesa
Punguza kuropokwa, sasa ju Joho, Omanga and a few ni politicians wanapenda magari za kifahari inakua ni wakenya wote ni politicians.
Ebu tuambie nani politician hapa.
View: https://www.instagram.com/reel/DMyAnDGIAsx/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==