President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,760
- 89,785
Hapa mmeziba kitu gani?Mambo ya kutojaza Stadium tumeachia watanzania. 2 more hours to go and already Kasarani ishaanza kujaza.
View attachment 3429469View attachment 3429470
Hapa mmeziba kitu gani?Mambo ya kutojaza Stadium tumeachia watanzania. 2 more hours to go and already Kasarani ishaanza kujaza.
View attachment 3429469View attachment 3429470
Halafu hapo chini seats zimekaa kama za kwenye hall,na viti vipo chini mno 😂,jua kali stadiumHapa mmeziba kitu gani?
View attachment 3429493
Yapo mengi tu, huwa tunapiga kimya. But hawa watu hali yao ni mbaya kuliko ubaya wenyewe.Hii niliiona huko x ila nikala kimya tu
Such an impudent N-card sio brand name. Embu tuwaletee hata google iwafundishe.N-card is a brand name you idiot.
Embu soma utofauti hapo wewe mbung'o.N-card is a brand name you idiot.
Onesha slums hapo si mlisema Kuna slums!?Barabara mbovu.
Nguruwe pori wewe nimekuwekea utofauti wa N-card na ATM card.Mimi sinanga hiyo patience. Nitampiga tu za uso.😂
Guys hebu angalieni ndani ya vyumba vya uwanja wa Kasarani ni vituko
View: https://youtu.be/JVJArStyBVk?si=C8EzTJqt9eKg1Qwv
Hatuwezi host ju ya vifagio? 🤣. Watanzania kwa domo domoWatu wanafagia na fagio za chelewa. Hii CHAN ita expose vitu vingi sana ndugu zetu. AFCON hawawezi host
Yaani hata dakika kumi hazijafika tayari wamelimwa goli, washukuru VAR. 😂😂😂Refa kawabeba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kila mtu duniani anajua 2027 ni mwaka wa kukatana mapanga wakenya.Hatuwezi host ju ya vifagio? 🤣. Watanzania kwa domo domo