Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa ni katika ufunguzi. Wakenya wataumiza kichwa sana kufikia hii. Hii ni nona. Wakenya wanaandamana na kuitukana Tanzania na mengi

1754210692913.png


1754210605607.png
 
Nishakupa sababu pia unanijua siendekezi ubishani wa kifala.
Tanzania huu mwaka wa uchaguzi Kuna political unrest Kila kitu wanakichukulia kisiasa.
Ufunguzi wa CAF super cup uwanja ulijaa na watu walilipia pesa .
Narudia kukuelekeza huu mwaka wa uchaguzi Kuna political unrest.
political unrest zipi hizo? wacha kuongea mambo ya ajabuajabu ku-substantiate uwanja kutojaa!
 
Back
Top Bottom