Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1754209090609.png
 
The region with many industries in the country is Pwani, jinyee sasa. 🤣🤣🤣 Dar ni ya pili. The second most developed city ni Mwanza (lake regions capital), and Arusha is the world’s safari capital .. guess what Dodoma is the capital. 🤣🤣🤣
Yet your electricity demand is still 1300MW.
 
Nishakupa sababu pia unanijua siendekezi ubishani wa kifala.
Tanzania huu mwaka wa uchaguzi Kuna political unrest Kila kitu wanakichukulia kisiasa.
Ufunguzi wa CAF super cup uwanja ulijaa na watu walilipia pesa .
Narudia kukuelekeza huu mwaka wa uchaguzi Kuna political unrest.
Hizo Sababu Baki nazo. Kulipa 50 bob ya kuingia stadium imewashinda😂😂
 
Back
Top Bottom