Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uhehehe dar inajaza 62k pale mkapa na hakuna barabara inafungwa mjinga wewe ndio maana mkiambiwa nairobu ni ndogo sana imejikusanya sehem ndogo sana 690km sq alaf kuna over 5.5m people ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mbona wafunge Barbara yet walijua hamtajaza stadium. Tofauti ya Tanzania na Kenya ni kwamba in Kenya crowds are controlled by blocking roads while in Tanzania crowds are controlled by charging stadium entry. So nyinyi kizuio chenu ilikuwa kulipisha game ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
 
tanzania ndio inayoaminikana na CAF so far sio nyinyi mulotuaibisha mpaka CHAN ikasogezwa mbele 6 months ahead kisa hamujamaliza ku renovate uwanja wa kasarani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kama renovation tu inawatoa kamasi nini mutaweza nyinyi eti mumefunika running track iliooza kutumia carpet even ku renovate running track pia ni shida kwenu ๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป
So CAF iliwaamini kwamba hamtajaza Stadium?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚.

Ingine mnaaminika mngepewa Finals muandae. But because they knew you won't fill the stadium, walileta Finals Kenya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mbona wafunge Barbara yet walijua hamtajaza stadium. Tofauti ya Tanzania na Kenya ni kwamba in Kenya crowds are controlled by blocking roads while in Tanzania crowds are controlled by charging stadium entry. So nyinyi kizuio chenu ilikuwa kulipsha game ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
siku zote simba na yanga zinacheza na uwanja unatapika sijawah kuona barabra yoyote imefungwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

na hiii ndio dalili mukiambiwa nairobi ni ndogo sana mara tatu ya dar muwe munaelewa tunachowaambia

akili kichwani mwako
 
siku zote simba na yanga zinacheza na uwanja unatapika sijawah kuona barabra yoyote imefungwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Siku zote watu wamekuwa wakiingia bure hapo. Jana mliambiwa mlipe mkakataa kukuja Stadium ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
So CAF iliwaamini kwamba hamtajaza Stadium?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚.

Ingine mnaaminika mngepewa Finals muandae. But because they knew you won't fill the stadium, walileta Finals Kenya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
tanzania ndio mkereketwa wa mpira kwa jumuiya hii ukubali ukatae bila tanzania kenya isingeambulia chochote ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

sisi tuna GDP kubwa mbona hamujazuia ban yoyote baada ya ile ya kwetu mulivolia mukatoa mpaka kamasi
 
Siku zote watu wamekuwa wakiingia bure hapo. Jana mliambiwa mlipe mkakataa kukuja Stadium ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
eti bure manina just simba na yanga wanajaza huo uwanja tena separetely na kiingilio kikubwa watu wanalipa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
tanzania ndio mkereketwa wa mpira kwa jumuiya hii ukubali ukatae bila tanzania kenya isingeambulia chochote ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mbona hamjapewa finals basi? Kelele mingi na hamuezi lipa Ksh 50 kuenda kuwatch ball, sasa mkilipishwa Ksh 200 kama Kenya sio hiyo Hadi coach atakataa kukuja Stadium?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
eti bure manina just simba na yanga wanajaza huo uwanja tena separetely na kiingilio kikubwa watu wanalipa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mbona hamkuijaza Jana? Jibu nu moja Tu, kulikuwa kunalipishwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
mshamba ni ww ATM ni nn? tatizo lenu vitu kama hvo hamuna na hamutakua nayo 50yrs to come๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Automated Teller Machine. Do you know what a teller is? A teller is someone who transact your finances, in the case of ATM it's automated. Ebu sasa niambie hiyo N-Card yenu Nani huwa anafanya transaction wa hizo payments?

Shida yako ni ufala na ujinga. Ungebaki Yemen isome vizuri hungekuwa unatuonyesha wako kwa nchi ya watu wengine.
 
tanzania ndio inayoaminikana na CAF so far sio nyinyi mulotuaibisha mpaka CHAN ikasogezwa mbele 6 months ahead kisa hamujamaliza ku renovate uwanja wa kasarani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kama renovation tu inawatoa kamasi nini mutaweza nyinyi eti mumefunika running track iliooza kutumia carpet even ku renovate running track pia ni shida kwenu ๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป
Mwambie CAF imewakataza wasitumie vuvuzela. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ Teargass jana kwenye social media walipoona watanzania wanatamba na vuvuzela wamepiga kelele na kuitukana CAF
 
Automated Teller Machine. Do you know what a teller is? A teller is someone who transact your finances, in the case of ATM it's automated. Ebu sasa niambie hiyo N-Card yenu Nani huwa anafanya transaction wa hizo payments?

Shida yako ni ufala na ujinga. Ungebaki Yemen isome vizuri hungekuwa unatuonyesha wako kwa nchi ya watu wengine.
Brother unajiaibisha.
 
Mbona hamkuijaza Jana? Jibu nu moja Tu, kulikuwa kunalipishwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
kwa vile simba au yanga zikicheza hua watu hawalipishwi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ unatafuta kichaka cha kujifichia
 
Back
Top Bottom