Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Unasifia bibi kizee aliepakwa poda? Kisarani bado ni uwanja wa kizamani kamwe usifananishe na uwanja wa kisasa alafu kwa sasa uwo uwanja uwekwa viti so capasity imepungua now unaingiza chini ya watu 55k ilikuwa 60k ilipokuwa haina seat watu wanakalia zege 😂😂

ilihali mkapa now imefanyiwa seat mpya inaingiza watu 6200 na wakimaliza itaingiza 63500+ Now mkapa ni league nyingine bro
 
Mambo ya kutojaza Stadium tumeachia watanzania. 2 more hours to go and already Kasarani ishaanza kujaza.

View attachment 3429469View attachment 3429470
Hapa mmeziba kitu gani?
1754219594281.png
 
Back
Top Bottom