Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi ni next levels. Bars is higher
1000132388.jpg
 
Shida Viongozi wao ndio wanajua ukweli wa Kenya. Wanawadanganyia maghorofa ya wageni, GDP ya mchongo na thamani ya sarafu.

Wakenya wanajiona US kumbe ni BATA tu kama Burundi.

Ukanda huu sisi ndio tuna POWER ya Ku-deport, kuwafira, kupiga BAN uhuni wao na hakuna kitu WATAFANYA.

View attachment 3424419
Hivi van za TZ uingia masai mara au amboseli,na kuna m TZ tour guide kule mombasa kweli?
 
Mnakumbuka wakenya wanacheka Tz ati Madereva 75 wamekosa ajira Qatar. Wakaenda mbali na kusema tatizo ni english. Ona sasa

Dawa ya mtu mjinga na muongeaji ni kukaa kimya na kumjibu kwa vitendo,

Halafu nimekuja kugundua media za kenya zinapotosha sana habari kuhusu Tz ili kupata engagement na kuchochea battle. One time zitawaponza.
View attachment 3424325
Wao wengi wanadeki Vyoo vya Airport 😂
 
Back
Top Bottom