concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,468
K
Walikuwa hawalipi ushuru wa mazao hawa majambazi ,sasa hivi wakitaka mahindi shart waje gharani.Wakundustan kwa kujipa umuhimu hapo hapo wanajidhalilisha, Ushaambiwa tumeban vijibiashara uchwara ambavyo vinatakiwa vifanywe na wazawa . Mnaosha vinywa na tunajifunza ndio nyie wapiga debe humu nchini😂, Mkafie mbali huko ! Kama mna udole, invest kitu kionekane, you are welcome.