mwathadan
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 3,517
- 5,124
Napenda vile huwa mnapenda kujiliwaza hapa,Ethiopia wana matatizo sana ila wanayaficha mbele ya wageni.
Walianzisha ADDIS ABABA DEVELOPMENT CORRIDOR PROJECT, wakapamba sana Addis Ababa na wamevunja nyumba zote za masikini.
Ikitokea Slum tu wanafukuzwa. Kuna makabila yanalalamika yamefukuzwa hapo town na kupewa ambao siyo wenyeji.
Huko Tigray kuna vita ya kikabila.
Watu karibu 200M lakini Addis ababa watu wachache.
View attachment 3423011